Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Akili yake haina akili najua unachowaza... HahahaAhsante kwa kutukumbusha 😁 usiulize umetukumbusha nini, we jua tu ahsante
Akili yake haina akili najua unachowaza... HahahaAhsante kwa kutukumbusha 😁 usiulize umetukumbusha nini, we jua tu ahsante
Itakuwa x-ray ya moyoni mkuu pale hakuna mifupa.Nipo nasubiri X-ray ya kanumba kuona ni wapi aliumia baada ya kuumizwa
Nmewaza nini kwani 😂😂😂Akili yake haina akili najua unachowaza... Hahaha
Umemuweka katika gallery au sio 😂😂
Nitakupigia video call... hahahaNmewaza nini kwani 😂😂😂