Picha ya Chris Benoit baada ya kufanya mauaji ya Mke na mtoto wake

Picha ya Chris Benoit baada ya kufanya mauaji ya Mke na mtoto wake

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,236
Reaction score
10,774
Aliyekuwa nyota wa WWE Marehemu Chris Benoit anaonekana akipiga picha kwa ajili ya shabiki katika ofisi ya Dk Phil Astin mnamo Juni 22, 2007, kwa kuitazama watu walidhani ni vile Benoit ni mcheshi na anapenda sana mashabiki zake.
1743268994726.jpg

Ila ajabu ni kuwa baadaye ilijulikana wakati anapiga picha hii basi Benoit alikuwa tayari amemuua mke wake pamoja na mtoto wake Daniel mwenye umri wa miaka saba.
images - 2025-03-29T202418.801.jpeg

Kufuatia matukio ya kusikitisha ya mauaji ya Chris Benoit na kujiua, utafiti wa Taasisi ya Sports Legacy Institute (now the Concussion Legacy Foundation) ulitosha kuonesha kuwa depression and Chronic Traumatic Encephalopathy (CTE), ambao huenda ulisababishwa na mishtuko mingi wakati wa shughuli yake ya mieleka, zilitosha kwa Chris Benoit kufanya mauaji hayo.

PUMZIKA LEGEND ❤️ CHRIS BENOIT
 
Nilikua shabiki wake sana kwenye mchezo wa mieleka 2008.
Ilinisikitisha sana aisee!
 
Wacheza mieleka na wale wacheza american football wengi wamejiua na kuua wenza/watu wao wa karibu na sababu ikitajwa ni hiyohiyo CTE
 
Kuua mwanamke ni jambo usiloweza kufikiri utalifanya lakini ni rahisi sana kufanya. Mwaka jana iwapo ningekua Dar ningeweza kuua mtu, bahati nzuri nilikua mbali na hadi narudi nimeshapata ushauri mwingi sana kutoka kwa ndugu na jamaa. Wanawake wana mambo ya ajabu sana.
 
Daah 😔 Mkuu kutoa roho ya mtu napo ni ujasiri
 
Back
Top Bottom