Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Hiyo toka kitambo, ile mikikimikiki ya hiyo michezo yao inaathiri ubongo.Hii kitu kwa sasa ni noma sana Mkuu
Hiyo toka kitambo, ile mikikimikiki ya hiyo michezo yao inaathiri ubongo.Hii kitu kwa sasa ni noma sana Mkuu
Kwenye Mieleka ni kitu cha kawaida kuona Baba anafariki akiwa na 45 na mtoto wake akaja kufariki kwenye miaka 40s yaani ni fujo tupuNilikuwa mshabiki mkubwa sana wa mieleka kwenye miaka ya 80 mpaka 90
Ila nilikuwa nafuatilia pia maisha yao hawa miamba kwa kusoma magazeti yao pia
Wengi wao huwa hawafiki umri wa miaka 50 hufariki
Depression naona ni moja ya side effect za madawa wanayotumia na ratiba zao ngumu za mazoezi.
Pia kuumia mara kwa mara na matumizi mabaya ya ulevi na madawa
Msongo wa mawazo unaleta mengi sana
Alikuwa mpiganaji mzuri sana Chris
Sana aiseeKwenye Mieleka ni kitu cha kawaida kuona Baba anafariki akiwa na 45 na mtoto wake akaja kufariki kwenye miaka 40s yaani ni fujo tupu
Soon mkuuBroo.. sorry lakini... ile story yako kule hujatupa mrejesho.....
Huyo ukute alitoka kukalia msumari wa nyamaJamaa amepiga picha kama vile hajafanya mauaji 😔
Mnawachezesha watu michezo ya kinyama, halafu mnategemea wawe watu?Aliyekuwa nyota wa WWE Marehemu Chris Benoit anaonekana akipiga picha kwa ajili ya shabiki katika ofisi ya Dk Phil Astin mnamo Juni 22, 2007, kwa kuitazama watu walidhani ni vile Benoit ni mcheshi na anapenda sana mashabiki zake.
View attachment 3287196
Ila ajabu ni kuwa baadaye ilijulikana wakati anapiga picha hii basi Benoit alikuwa tayari amemuua mke wake pamoja na mtoto wake Daniel mwenye umri wa miaka saba.
View attachment 3287195
Kufuatia matukio ya kusikitisha ya mauaji ya Chris Benoit na kujiua, utafiti wa Taasisi ya Sports Legacy Institute (now the Concussion Legacy Foundation) ulitosha kuonesha kuwa depression and Chronic Traumatic Encephalopathy (CTE), ambao huenda ulisababishwa na mishtuko mingi wakati wa shughuli yake ya mieleka, zilitosha kwa Chris Benoit kufanya mauaji hayo.
PUMZIKA LEGEND ❤️ CHRIS BENOIT