Ulikua unaangalia dvd zake ama nini?Nilikua shabiki wake sana kwenye mchezo wa mieleka 2008.
Ilinisikitisha sana aisee!
Broo.. sorry lakini... ile story yako kule hujatupa mrejesho.....Very sad
Daah 😔 Mkuu kutoa roho ya mtu napo ni ujasiriKuua mwanamke ni jambo usiloweza kufikiri utalifanya lakini ni rahisi sana kufanya. Mwaka jana iwapo ningekua Dar ningeweza kuua mtu, bahati nzuri nilikua mbali na hadi narudi nimeshapata ushauri mwingi sana kutoka kwa ndugu na jamaa. Wanawake wana mambo ya ajabu sana.