Picha ya Chris Benoit baada ya kufanya mauaji ya Mke na mtoto wake

Nilikuwa mshabiki mkubwa sana wa mieleka kwenye miaka ya 80 mpaka 90

Ila nilikuwa nafuatilia pia maisha yao hawa miamba kwa kusoma magazeti yao pia
Wengi wao huwa hawafiki umri wa miaka 50 hufariki
Depression naona ni moja ya side effect za madawa wanayotumia na ratiba zao ngumu za mazoezi.

Pia kuumia mara kwa mara na matumizi mabaya ya ulevi na madawa

Msongo wa mawazo unaleta mengi sana
Alikuwa mpiganaji mzuri sana Chris
 
Kwenye Mieleka ni kitu cha kawaida kuona Baba anafariki akiwa na 45 na mtoto wake akaja kufariki kwenye miaka 40s yaani ni fujo tupu
 
Kwenye Mieleka ni kitu cha kawaida kuona Baba anafariki akiwa na 45 na mtoto wake akaja kufariki kwenye miaka 40s yaani ni fujo tupu
Sana aisee
Yaani huwa nashangaa huu mchezo, kifo haraka sana
Stress tupu
 
Mnawachezesha watu michezo ya kinyama, halafu mnategemea wawe watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…