Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndani ya hicho kidoti kuna watu wana jimwambafai kila kukicha wakidai hamna mungu muweza aliye umba hivoDunia inaonekana kwenye upinde ikiwa kama kidoti
Inasikitisha sanaNdo maana israel hapati tabu na sisi akitaka kukuondoa ni sekunde tu
ZoomKwani Dunia tunayoishi ndo inafanana hivyo?
Imepigwa na chombo cha voyager 1Kwahiyo iyo pichw imepigwa na mtu akiwa wapi?
Picha ipigwe na atheist au la, haitobadilisha chochote juu ya hoja tajwa iliyo tolewa hapo juuHiyo picha kuna nafasi kubwa ikawa imepigwa na Atheist
Atheist ambaye amekuwa akizurula huko angani kukusanya taarifa ili ashee nasisi
Kwa hiyo yeye ndio alikuwa mtu wa kwanza kuanza kufikiria complex ya hiyo picha kabla yako.
Picha imemfikia mtu ambaye hajawahi hata kaa kwenye kilele cha ghorofa kupata view ya mji, anaanza kuitolea picha maelezo kuwa ni Mungu
Hoja yako imekaa kimhemko sio factualPicha ipigwe na atheist au la, haitobadilisha chochote juu ya hoja tajwa iliyo tolewa hapo juu
Akili ndogo haiwezi kuelewaKwamba hiyo picha ina thibitisha Mungu yupo?
Kuna watu wanaamini story za UFOs??Hata dunia nzima tukimkataa Mungu sio kesi, dunia ni kijisehemu tu cha galaxy ambazo zipo nyingi Sana kuliko hizi zilizogundulika na zina viumbe wanamtukuza MUNGU. Ujanja wetu na technology yetu still ni duni ukilinganisha na hizo galaxy.
UFO tu tumeshindwa kugundua wanatokea galaxy ipi.
Na hakuna chombo chochote cha mwanadamu kinaweza fukuzia chombo cha UFO.
Kama huna ufahamu huwezi aminiKuna watu wanaamini story za UFOs??