Kilomita bilioni 6 dunia haiwezi kuonekana tusidanganyane!
Kama jua tu lipo umbali wa kilomita milioni kadhaa alafu tunaliona dogo vile iweje dunia iliyoko umbali wa kilomita bilioni 6 ionekane?
View attachment 2519943
Hapa dunia ipo umbali wa kilomita 610,858 lakini imekuwa ndogo hivi. Vipi ikiwa kilomita milioni moja au ikiwa umbali wa kilomita milioni 149.6 ambao ni umbali kutoka kwenye uso wa jua hadi uso wa dunia?
Kama dunia ni ndogo kiasi cha kuonekana kama tone kulinganisha na jua, alafu jua hili tunaliona dogo kama embe tukiwa kwenye dunia hii iliyo umbali wa kilomita milioni 149,600,000; vipi tungeiona dunia tukiwa kwenye uso wa jua?
Dunia yenyewe ingekuwa umbali wa kilomita bilioni 6 tusingepata hata jua tunalolifaidi now. Sanasana kwenye macho yetu tungeliona jua likifanana na nyota zingine angani