Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
- Thread starter
- #21
Kuna watu wanaamini uwepo wa UFOsHata dunia nzima tukimkataa Mungu sio kesi, dunia ni kijisehemu tu cha galaxy ambazo zipo nyingi Sana kuliko hizi zilizogundulika na zina viumbe wanamtukuza MUNGU. Ujanja wetu na technology yetu still ni duni ukilinganisha na hizo galaxy.
UFO tu tumeshindwa kugundua wanatokea galaxy ipi.
Na hakuna chombo chochote cha mwanadamu kinaweza fukuzia chombo cha UFO.
Story kwa hisani ya watu wa marekani 🤣Kama huna ufahamu huwezi amini