Picha ya dunia kutoka umbali wa Kilomita Bilioni Sita (06). Halafu kuna watu wanafikiri uwepo wao duniani ni kwa bahati mbaya

Hiyo picha kuna nafasi kubwa ikawa imepigwa na Atheist

Atheist ambaye amekuwa akizurula huko angani kukusanya taarifa ili ashee nasisi

Kwa hiyo yeye ndio alikuwa mtu wa kwanza kuanza kufikiria complex ya hiyo picha kabla yako.

Picha imemfikia mtu ambaye hajawahi hata kaa kwenye kilele cha ghorofa kupata view ya mji, anaanza kuitolea picha maelezo kuwa ni Mungu
 
Picha ipigwe na atheist au la, haitobadilisha chochote juu ya hoja tajwa iliyo tolewa hapo juu
 
Hata dunia nzima tukimkataa Mungu sio kesi, dunia ni kijisehemu tu cha galaxy ambazo zipo nyingi Sana kuliko hizi zilizogundulika na zina viumbe wanamtukuza MUNGU. Ujanja wetu na technology yetu still ni duni ukilinganisha na hizo galaxy.
UFO tu tumeshindwa kugundua wanatokea galaxy ipi.
Na hakuna chombo chochote cha mwanadamu kinaweza fukuzia chombo cha UFO.
 
Kuna watu wanaamini story za UFOs??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…