Picha ya dunia kutoka umbali wa Kilomita Bilioni Sita (06). Halafu kuna watu wanafikiri uwepo wao duniani ni kwa bahati mbaya

Kuna watu wanaamini uwepo wa UFOs
Kama huna ufahamu huwezi amini
Story kwa hisani ya watu wa marekani 🤣
 
Ni mungu ndo alipiga hii picha? Watu wangeendekeza kuamini upumbavu wa dini wasingeweza kwenda huko juu na kuweza kupiga picha kama hizi. It’s only through science. Kuna wapumbavu wengine wanaambiana jua linazama kwenye matope
 
Ulielewa uzi wangu kwanza?
Unasema mambo nayoona hayana majibu wakati jibu nishatoa na lipo wazi
Una imply kwamba uwepo wa dunia hauwezi kuwa coincidence sababu complexity level yake ni unfathomable kiasi cha akili yako kushindwa kugrasp such concept. Lakini uhalisia ni kwamba uwepo wa dunia sio unexplainable bali tatizo ni uwezo wako mdogo wa kuchanganua mambo na kupelekea kuja na unrelated conclusion kwamba Mungu ndio chanzo ya yote.
 
Mkuu
Una kichwa kigumu sana
All in all hutoweza ku capture the essence of that thing kwa imani yako uliyo nayo sasa hvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…