Picha ya dunia kutoka umbali wa Kilomita Bilioni Sita (06). Halafu kuna watu wanafikiri uwepo wao duniani ni kwa bahati mbaya

Nini kilisababisha kuthibitisha kua hicho kidot ndio dunia na sio sayari nyingine yoyote au gimba la jiwe au nyota!!!?
 
Kuna watu wanajifanya wansjua ku anslyze mambo kuliko kina Albert Einstein,Schrodinger,Elon Musk nk.
Watu wenye akili ndogo kujifanya wana akili kubwa kuliko wenye akili kubwa.
 
Ndani ya hicho kidoti kuna watu wana jimwambafai kila kukicha wakidai hamna mungu muweza aliye umba hivo

M/mungu atunusuru
Kama ni mungu kwa kutumia hivi vitabu vinavyoitwa vya mungu basi mungu hayupo.

Kiletwe kitambu kingine cha kutuelezea kuhusu Mungu ila sio hivi vilivyopo. Mfano kama Quran useme ni kitabu cha mungu alieumba mbingu na ardhi basi ni kukosa akili kwa kiwango kikubwa sana.
 
Dini ya wapumbavu, wajinga! Wenye akili finyu. Fatilia matokeo ya form 2,form 4 na form 6. Waliofeli sana wajinga wasiopenda sayansi ndo hao wenye hiyo dini. Wao wanaambiana wakifa watapewa mito ya wine na mabikra 72
Ndio hawa ? maana nimewaona wajinga na wapumbavu na wajinga sana haijawahi kutokea
Your browser is not able to display this video.
sana kupindukia haijawahi kutokea
 
Atheist wote ni mashoga na wasagaji
Huna hoja za kuwajibu Atheist unatumia "ushoga na usagaji" kama kichaka cha kujificha kukwepa kujibu hoja za Atheist.

Kuna viongozi wa dini ni mashoga vilevile na waumini wa dini ni mashoga.

Ulicho kiandika hapa ni mihemko na makasiriko yako dhidi ya Atheist uka amua kuwafunga manisha na hoja zako za "Ushoga na usagaji".
 
Akili ndogo haiwezi kuelewa
Una kipimo cha Akili kubwa na ndogo?

Huna hoja za kuwajibu Atheist zaidi ya hofu zako za kiimani na kidini.

Naku uliza hiyo picha ina thibitisha Mungu yupo?

Akili yako ni ndogo vilevile. Ingekuwa kubwa ungejua kwa nini Atheist wanapinga uwepo wa Mungu.

Kama hujui kwa nini Atheist wanapinga uwepo wa Mungu Usitumie hoja zako za kidini kuzi fungamanisha na kitu usicho kielewa...
 
Kilomita bilioni 6 dunia haiwezi kuonekana tusidanganyane!
Kama jua tu lipo umbali wa kilomita milioni kadhaa alafu tunaliona dogo vile iweje dunia iliyoko umbali wa kilomita bilioni 6 ionekane?

Hapa dunia ipo umbali wa kilomita 61,858 lakini imekuwa ndogo hivi. Vipi ikiwa kilomita milioni moja au ikiwa umbali wa kilomita milioni 149.6 ambao ni umbali kutoka kwenye uso wa jua hadi uso wa dunia?
Kama dunia ni ndogo kiasi cha kuonekana kama tone kulinganisha na jua, alafu jua hili tunaliona dogo kama embe tukiwa kwenye dunia hii iliyo umbali wa kilomita milioni 149,600,000; vipi tungeiona dunia tukiwa kwenye uso wa jua?

Dunia yenyewe ingekuwa umbali wa kilomita bilioni 6 tusingepata hata jua tunalolifaidi now. Sanasana kwenye macho yetu tungeliona jua likifanana na nyota zingine angani
 
Ndani ya hicho kidoti kuna watu wana jimwambafai kila kukicha wakidai hamna mungu muweza aliye umba hivo

M/mungu atunusuru
Binadamu ni viumbe viburi Sana brother [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Lakini hata kanyoka tu kanawaua, Lakini wako busy kutengenezea nuclear weapons for Mass destruction [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ulimwengu ni fumbo, hakuna anayejua kiini, sababu ya uwepo wake, mwanzo wala mwisho wake.

Kukoseka kwa hivyo vyote kulimfanya mwanadamu atengeneze chanzo na kukiita mungu.(ambacho nacho hakijulikani mwanzo wala mwisho wake)

Hiki chanzo ni cha muda na hubadilika kadri ugunduzi wa kisayansi unavyoweka bayana baadhi ya yaliyojificha(uhalisia).
 
Nini humfanya mtu kuwa atheist?Kuzaliwa katika familia isiyo na dini?kuzaliwa katika familia yenye dini lkn baadae akakataa kuamini uwepo wa Mungu kwa sababu zake binafsi?Na pia nyinyi atheist mnapenda mkifa mfukiwe tu bila kiongozi yeyote wa dini na bila sala yeyote?Yaani siku hiyo kusiwe na padri sheikh wala mchungaji? Natumaini mtanijibu haya maswali machache
 
Huyu mleta mada ni Muongo...

Wala haelewi alicho kiandika. Km Billion 6 ni mbali Sana.

Halafu anafunga manisha uongo na imani yake ili tudhani ni ukweli...[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…