Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,280
- 7,485
Africa kubwa sana hapo...
Mkuu pale dot blue picture ndio inatoa tafsiri sahihi kuwa dunia si chochote.Duh our pale dot blue, that's home that's us everyone you love, everyone you know lives there.
the same old story the same old myth...Walete flat earthers wakina DR Mambo Jambo
Nasubiri majibu ya hii comment nipo kujifunzathe same old story the same old myth...
unaamini kabisa hiyo picha imepigwa juzi au imepigwa na appolo? halafu ukiangalia picha hiyo inakuonyesha Duna ni dura lenye kipenyo kinachofanana ila wanasayansi hao hao wanakuambia dunia ni Yai umbo la yai..
cha ajabu taswira ya dunia inayoonekana hapo iliundwa zamani sana kabla hata ya kwenda mwezini miaka ya 1400-1700...
propaganda lazima waithibitishe kwa sababu vijana wa siku hizi haya genz na gen alpha wanataka uthibitisho so ni lazima ilikuwa wawape ili waendelee kuwatawala ki ideas
wanakuambia dunia inazunguka kwa kasi kwenye muhimili halafu ukiangalia picha waliotuma inaupande mmoja tu wa afrika means dunia iko still haizunguki na ndo maana picha ina upande mmoja....THINK
Yatakusaidia nini? We endelea kupokea habari kuhusu kuondolewa kwa nyeti kimazingira. Hayo ndio yako na yanayokufaa bro. 😂😂😂Napenda sana nipate story zaidi kuhusu haya mambo
Hata nyie mpo mbali. Mmegundua kupotelewa na nyeti kimazingira.Wenzetu wapo mbali sana
Dunia ni oblate spheroid, Waswahili ndio walifananisha na yai.the same old story the same old myth...
unaamini kabisa hiyo picha imepigwa juzi au imepigwa na appolo? halafu ukiangalia picha hiyo inakuonyesha Duna ni dura lenye kipenyo kinachofanana ila wanasayansi hao hao wanakuambia dunia ni Yai umbo la yai..
cha ajabu taswira ya dunia inayoonekana hapo iliundwa zamani sana kabla hata ya kwenda mwezini miaka ya 1400-1700...
propaganda lazima waithibitishe kwa sababu vijana wa siku hizi haya genz na gen alpha wanataka uthibitisho so ni lazima ilikuwa wawape ili waendelee kuwatawala ki ideas
wanakuambia dunia inazunguka kwa kasi kwenye muhimili halafu ukiangalia picha waliotuma inaupande mmoja tu wa afrika means dunia iko still haizunguki na ndo maana picha ina upande mmoja....THINK
nakala kwa hateeb10Walete flat earthers wakina DR Mambo Jambo
picha ya oblate ni kweli bado hatujapewa,the same old story the same old myth...
unaamini kabisa hiyo picha imepigwa juzi au imepigwa na appolo? halafu ukiangalia picha hiyo inakuonyesha Duna ni dura lenye kipenyo kinachofanana ila wanasayansi hao hao wanakuambia dunia ni Yai umbo la yai..
cha ajabu taswira ya dunia inayoonekana hapo iliundwa zamani sana kabla hata ya kwenda mwezini miaka ya 1400-1700...
propaganda lazima waithibitishe kwa sababu vijana wa siku hizi haya genz na gen alpha wanataka uthibitisho so ni lazima ilikuwa wawape ili waendelee kuwatawala ki ideas
wanakuambia dunia inazunguka kwa kasi kwenye muhimili halafu ukiangalia picha waliotuma inaupande mmoja tu wa afrika means dunia iko still haizunguki na ndo maana picha ina upande mmoja....THINK
Tusubiri majibu hapa.the same old story the same old myth...

mkuu Usisahau the controller ni Mmoja tu wa anga na ardhi ni NASA ndo anajua whch information to feed us...Dunia ni oblate spheroid, Waswahili ndio walifananisha na yai.
Hakuna conspiracy inayoweza kudumishwa na kubaki siri kwa nchi zaidi ya 20 zilizowahi kuwa katika space projects na zenye satellites angani, zaidi sana hakuna conspiracy inayoweza kudumishwa kati ya US, Canada, Ulaya, Russia na China.
Umejuaje kama ni ukweli kama walishatudanganya mara nyingi tu na picha zao hizo. Angalia picha ya dunia inaonyesha Afrika ni ndogo kuliko Ulaya na Asia wakati vipimo vinaonyesha Afrika ni kubwa kuliko Ulaya na Asia kwa pamoja. Wazungu hawaaminiki 100% wako kibiashara zaidi.Picha mpya ya Dunia imepigwa kutoka Artemis II. View attachment 3567044
Chuoni nakumbuka Kuna kitu tulikisoma kwenye G.I.S na hydrometeorology pale MWECAU kinauhusiana na swali ulilouliza hapaKwa namna hali ya hewa ilivyo kwa sasa karibia kila sehemu mawingu yametanda tena muda wote, akili yangu inawauĺza hizo kamera zao huwa zinayayeyusha mawingu kwanza ndio zinapiga picha, maana naona picha inaonyesha ardhi ya afrika ilihali afrika kwa sasa mostly imefunikwa na mawingu.
Msinishambulie nimetumia akili zangu kuwaza.
Mbona picha ya Apollo kali…, au ali-edit?! 😂😂Fananisha na ya Apollo hapa:View attachment 3567049
We jamaa ni mjinga...the same old story the same old myth...