blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 13,696
- 17,306
Tatizo Tanzania Simba Yanga na CCM na CHADEMA zilisha kula fyuzi.Kwa namna hali ya hewa ilivyo kwa sasa karibia kila sehemu mawingu yametanda tena muda wote, akili yangu inawauĺza hizo kamera zao huwa zinayayeyusha mawingu kwanza ndio zinapiga picha, maana naona picha inaonyesha ardhi ya afrika ilihali afrika kwa sasa mostly imefunikwa na mawingu.
Msinishambulie nimetumia akili zangu kuwaza.
Hiyo picha isave afu nenda kwenye edit igeuze geuze....
Utapata muonekano huu
That is. North Africa... Kwanini hapo hakuna Mawingu. Ni sahara desert..
Little or No rains...
Huku chini South Africa pia linaonekana Namib Desert if not mistaken..