Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Yaaan kama mpaka sasa.kuna watu wanaendelea kubishana about earth flat au ni sphere jua kuna tatizo mahali......
Ulitaka ya this time iwe kama karoti au?Mbona inafanana na kama zilezile za siku zote… au ni mimi na ubora wa kifaa changu ninachotumia kutazama picha hii?! 🤔🤔🤔
Negligible? Kama picha ni sahihi maana yake ishu ya Oblate spheroid ni uongo completely no either waysweka hapa tufe la flat kwanza ,
hiyo kwa mujibu wa google wanasema ni negligible
tusubiri tu majibu yao.Negligible? Kama picha ni sahihi maana yake ishu ya Oblate spheroid ni uongo completely no either ways
Pia dalili zinaonyesha zaidi ya 90% ishu ya Moon landing 1969 ilikua uongo,.. kwahiyo usishangae watu ku question uhakika wa mambo ulivyo maana ndani ya hizi tafiti zinazoaminika na wengi kuna mchanganyiko wa uongo so inatengeneza doubts,.. au huoni hilo?
Pia project hii ya Artemis tunaambiwa imetumia Billions of dollars lakini mpaka sasa bado hawajaleta matokeo/evidence ambayo ina exceed zile zilizoletwa kwenye project ya Apollo,.. Labda tusubiri huenda tunaweza tukapata high quality videos na picha ambazo hazipo blurred kama za miaka ya 60's.