Picha ya Dunia yenye high resolution kutoka space imepigwa na Artemis II!

Tatizo Tanzania Simba Yanga na CCM na CHADEMA zilisha kula fyuzi.
Hiyo picha isave afu nenda kwenye edit igeuze geuze....
Utapata muonekano huu
That is. North Africa... Kwanini hapo hakuna Mawingu. Ni sahara desert..
Little or No rains...
Huku chini South Africa pia linaonekana Namib Desert if not mistaken..
 
Hapo kwwenye ardhi ni Australia
 
Inawezekana Flat earthers ni imani kama uisilamu na u hindu sababu sayansi ina mwelekeo tofauti kabisa na wanachosema watu wa dunia tambarare.

Ukiwakuta wanavo leta hoja zao, kama mazuzu, Yaani ukae Tandale maghetoni uje ulete hoja kinzani na NASA kuhusu Muundo wa dunia, Huu ni Ujuha wa mwisho kuwai kuusikia.
 
We jamaa ni mjinga...
Unabishana na science .
science ni nini?? mkuu?
Na hapo science iko wapi? kwenye hiyo picha unajua maana ya science???
tukiambiwa tusome tunaona tunaonewa Ona hii hoja jamani kwa bahati mbaya unakuta alipelekwa shule na wazazi wake kwa kweli ni hasara sana...

labda nikuongezee kitu sayansi sio IMani ni Facts so kila kinachosemwa inabidi kithibitike na kudhihirisha na ndo maana sheria za kisayansi hubadilika mara kwa mara
 
Wewe unaonaje?
 
Mdau wewe ni mbishi pro max! Japo una hoja ila hazina mashiko
 
Mkuu pale dot blue picture ndio inatoa tafsiri sahihi kuwa dunia si chochote.
Natamani sana kusikia Voyage 1 imekamatwa na viumbe wengine kwenye space vipate ladha ya golden record.
Unachotamani hakiwez tokea, ni ndoto za mchana.
Plot twist wenzetuw anawaza mbali sana
 
Hakika Dunia ni nzuri Ila walimwengu sio wazuri.
Kazi ni kipimo cha utu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…