Picha ya Dunia yenye high resolution kutoka space imepigwa na Artemis II!

Tokaa..
🚮🚮
 
Kwanza umekubali kwamba ile story ya Moon landing ya miaka ya 60's tulipigwa? 🤣
Maana kama lilikua ni tukio la kweli basi hata hawa Artemis II wangeshaenda kuruka ruka kwenye mwezi kama ile video ya Kikosi cha Apollo inavyotuonyesha,...

NB; Mimi nipo positive uthibitisho ukipatikana mbona nakubali simple tu,.. kuna vitu bado havipo clear hata kwenye kichwa chako ndiyo maana upo curious na mada za aina hii,.. akili yako kuna vitu ina digest haipati majibu,... uongo?
 
NB; Mimi nipo positive uthibitisho ukipatikana mbona nakubali simple tu,.. kuna vitu bado havipo clear hata kwenye kichwa chako ndiyo maana upo curious na mada za aina hii,.. akili yako kuna vitu ina digest haipati majibu,... uongo?
waumini wa flat earth tafiti zenu hamtaki kutupa hata kwa bahati mbaya
 
waumini wa flat earth tafiti zenu hamtaki kutupa hata kwa bahati mbaya
Sawa, Naomba nikuulize swali kidogo,.. kwa picha za umbo la Dunia ambazo zimetoka hivi karibuni,.. Unaona dunia ni tufe kamili (perfect sphere)? au sio perfect sphere(yaani, Oblate spheroid) kama ambavyo tafiti za NASA zinasema, maana tafiti zinasema Dunia sio tufe kamili, Je picha zinaonyesha vipi kwa unavyoona, ni kamili sio kamili?

naomba unijibu kwa kutumia picha za NASA tafadhali?
 
tufe la nasa vs tufe la flat earthers naenda na tufe la nasa
 
Umeshawahi dhibitisha kwamba wapo?m

And where where they mwanadam alipoanz aku explore anga za mbali?
Haijathibitishwa kuwa wapo au hawapo mkuu.
Kifaa bado kipo kwenye intersteller space huwezi kuconclude kuwa hamna au wapo.
 
Vizuri, sasa kwanini tafiti unazozikubali zinasema Dunia sio complete sphere,.. ila kwenye picha tunaona complete sphere?

Huoni contradiction hapo?

Tushike lipi ni complete sphere/not?
weka hapa tufe la flat kwanza ,

hiyo kwa mujibu wa google wanasema ni negligible
 
Hata kama umetumia msaada wa chat ...
Naweza kusema tu we jamaa ni genius aiseeee hongera sana mkuu umefanya mada izidi kunoga aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…