Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

Hahaaaaaa eti mlupo lol
 
Dah....hiyo sura ya huyo lady Jay dee inatisha balaa.

Gadna atakuwa mwanaume mvumilivu sana.....

Alifikiria nini kuoa mtu mwenye sura kaa ya ng'ombe?
cow??? u can't be serious man hahahahahh ze fesi of ze ng'ombezzz!!!
 
Kinyaiya mkuu..ana asili ya Marangu Mtoni huyu Gardner wadau wanasema ni mchagha but sijaamini bado hata ukiangalia ubini wake.
Kinyainya ni mmachame ......kuna rafiki yangu amekua nae kijijini machame ......garder ni mchaga bt cjui wa wapi
 
Kinyainya ni mmachame ......kuna rafiki yangu amekua nae kijijini machame ......garder ni mchaga bt cjui wa wapi
Nimekupata kaka...huyu jamaa anazeeka vibaya mambo haya angeyafanya 20yrs nyuma sio sasa umri umeshaenda.
 
Nimekupata kaka...huyu jamaa anazeeka vibaya mambo haya angeyafanya 20yrs nyuma sio sasa umri umeshaenda.
Watu wanahukumu bila kujua hiyo picha kapiga kwenye mazingira yapi labda studio au club.....sioni ubaya wa picha hiyo na wabongo wanajua kuhukumu kma wao ni malaika
 
Watu wanahukumu bila kujua hiyo picha kapiga kwenye mazingira yapi labda studio au club.....sioni ubaya wa picha hiyo na wabongo wanajua kuhukumu kma wao ni malaika
Sure mkuu....na huyu gigy anatafuta sana kick inawezekana aliomba tu kupiga nae picha ila ndo kazionyesha hadharani kujitafutia umaarufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…