manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 680
marangu ipi mekuHuyu mchagha kaka kwao Marangu,hawa jamaa wanatuharibia sana asili yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
marangu ipi mekuHuyu mchagha kaka kwao Marangu,hawa jamaa wanatuharibia sana asili yetu.
Mmmh. Maneno ya mjini magumu aiseee
Hahaaaaaa eti mlupo lolSijui kwanini watu na akili zenu mnapiga picha na huyo Gigy..yuko desperate na ustar, kila kitu kwake ni fursa matokeo yake Gadna unazidi kudhalilika hasa ukizingatia huo mlupo umerusha hizi picha kipindi hiki wakati mambo hayapo njema kwako loh[emoji35]
Sijakaa sana kule mkuu but niliwahi kuliuliza hili nikaambiwa kwao ni Marangu Mtoni,aibu mtoto wa kiume anatoga masikio.marangu ipi meku
Picha ya Gigy Money na Mtangazaji Gadner G Habash Yazua Utata....
Mrembo Gigy Money Anaesifika kwa Bongeo la t***o Bongo ameweka picha kwenye page yake ya Instagram na kuandika maneno haya;
Gigy_money:
Baby chukua #supu
Sinaaa tatzooo na huyu mzeeee mwenzangu amesh......... takriban miez6 @captaintanzania
Hizi Hapa ni Baadhi ya Comments:
Precioussada
Dada jide ulifanya la maana kuondoka maana huyu sio mwanaume ni maradhi
Mudy_makinga
Umekojoleshwa six months mama tukomeshe @gigy_money tem hii na ww endelea kukojoleshwa naww miaka 20 ila ss mwambie akujoleshe mmelala sio mmesimama hutozaa nae na ww! Take care.
Raymondo_soundo
Brother nahisi kama haupo sawa @captaintanzania maisha gani haya???? Basi ata kama unafanya kuwe na mipaka unajizalilisha sana. Nimekumind sanaaaaa..
saraphinam4
MLIMA KITONGA.......lol mwanaume mpenda mtelemko.
nancygodwintillya
Kweli umechanganyikiwa mzee, ulivyokuwa unajiheshimu ukiwa na jide leo umefika huko.
cow??? u can't be serious man hahahahahh ze fesi of ze ng'ombezzz!!!Dah....hiyo sura ya huyo lady Jay dee inatisha balaa.
Gadna atakuwa mwanaume mvumilivu sana.....
Alifikiria nini kuoa mtu mwenye sura kaa ya ng'ombe?
Kaka yupi mchaga wa marangu kinyainya au gardnerHuyu mchagha kaka kwao Marangu,hawa jamaa wanatuharibia sana asili yetu.
Kinyaiya mkuu..ana asili ya Marangu Mtoni huyu Gardner wadau wanasema ni mchagha but sijaamini bado hata ukiangalia ubini wake.Kaka yupi mchaga wa marangu kinyainya au gardner
Kinyainya ni mmachame ......kuna rafiki yangu amekua nae kijijini machame ......garder ni mchaga bt cjui wa wapiKinyaiya mkuu..ana asili ya Marangu Mtoni huyu Gardner wadau wanasema ni mchagha but sijaamini bado hata ukiangalia ubini wake.
Nimekupata kaka...huyu jamaa anazeeka vibaya mambo haya angeyafanya 20yrs nyuma sio sasa umri umeshaenda.Kinyainya ni mmachame ......kuna rafiki yangu amekua nae kijijini machame ......garder ni mchaga bt cjui wa wapi
Watu wanahukumu bila kujua hiyo picha kapiga kwenye mazingira yapi labda studio au club.....sioni ubaya wa picha hiyo na wabongo wanajua kuhukumu kma wao ni malaikaNimekupata kaka...huyu jamaa anazeeka vibaya mambo haya angeyafanya 20yrs nyuma sio sasa umri umeshaenda.
Sure mkuu....na huyu gigy anatafuta sana kick inawezekana aliomba tu kupiga nae picha ila ndo kazionyesha hadharani kujitafutia umaarufu.Watu wanahukumu bila kujua hiyo picha kapiga kwenye mazingira yapi labda studio au club.....sioni ubaya wa picha hiyo na wabongo wanajua kuhukumu kma wao ni malaika
Yah ila watu wanatokwa povu kma nini......mimi sijaona tatizo hapoSure mkuu....na huyu gigy anatafuta sana kick inawezekana aliomba tu kupiga nae picha ila ndo kazionyesha hadharani kujitafutia umaarufu.
Shemeji we shemeji we...... Jamani shem darlin umepotea sanaShemeji swalama..? mekumic shem..
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji446]
Hiv mdogo wang lemtuz bado sijamuona akipiga picha na huyu mrembo au yeye dau lake dogo maana yeye ndio bingwa wa kusaminisha warembo bongo![]()
![]()
Usichokijua ni kwamba mi ni mwanamke halafu uache undeziUna wivu wa kike
Endelea kumtetea huyo ajuza wako