Picha ya mama Wema

Kuna cyber law inayotakiwa kupitishwa bungeni, yeyote atakayekuwa anasambaza picha za namna hii atachukuliwa sheria. hata kama ulitumiwa wewe utakaye-resend pia utakuwa responsible. FUTA DELETE KABISA

Unataka wabunge wasiwe na raha, siyo? Fika Dodoma kipindi cha bunge uone maajabu ya dunia. Huku bunge linaendelea wabunge wengine wako baa na machangu wakitumiana picha za mademu wao ambao wengine ni wake, watoto, mama zetu.
 
Basi na mimi nitumie. Nishanunua mafuta ya nazi tayari.
 
Aunty ni bonge la kifaa, sijui kwa nini amekubali kutumikishwa hivyo, yani ni kama kim kardashian ajipendekeze kwa beyonce. Yaan aunty siku izi kawa dereva wa wema, niliwaona juzi quality centre nikasema dah huyu aunty ajitambui
 
Wema si mjinga, ana akili yule na anafanya vile kumtumikisha Aunt kwani anataka Aunt achakae, yeye aonekane yupo juu. Mi nafikiri Aunt atakuwa msukule tu, we mtu gani mwenye akili timamu anakubali kutumikishwa halafu mshahara kumwendesha Wema na kubeba pochi lake? Waswahili wanasema akili mukichwa.
 
Aunty ni bonge la kifaa, sijui kwa nini amekubali kutumikishwa hivyo, yani ni kama kim kardashian ajipendekeze kwa beyonce. Yaan aunty siku izi kawa dereva wa wema, niliwaona juzi quality centre nikasema dah huyu aunty ajitambui

they wont last longer nakwambia
 
Anamchagulia hadi na watu wa kuongea nae, na had nguo wanavaaga sare, yaani akili zao sijui zipoje
 
Aunty ni bonge la kifaa, sijui kwa nini amekubali kutumikishwa hivyo, yani ni kama kim kardashian ajipendekeze kwa beyonce. Yaan aunty siku izi kawa dereva wa wema, niliwaona juzi quality centre nikasema dah huyu aunty ajitambui

Mimi urafiki wa hivyoo never labda aunt kafuliaa etiii
 
Binam ule uzi siouniiii bado unaliaa tu pole binamu!!!

Boko haramu washauteka uzi wetu binamu, ila wamechelewa watu washajionea mambo mpaka wamechoka

Leo binamu nimejifungia ndani tu namlilia aunty ezekeil anavyofanywa na wema, yaan huyu we muache tu, naona team dengue hamtoshi
 
Nasikiaa kafanywa zombieee utalia siku ngapiii nikusaidiee hata siku moja
 
Mimi urafiki wa hivyoo never labda aunt kafuliaa etiii

Kuna kipindi walikuwa hawaivi hatar, kipindi kile aunty ezekiel ndo diva wa bongo movie , wema alimtukanaga aunty akamwambia sura yake mbaya imekomaa hata haifai kukaa kwenye magazeti, eti leo hii wanajifanya mapacha duh kazi kweli
 
Boko haramu washauteka uzi wetu binamu, ila wamechelewa watu washajionea mambo mpaka wamechoka

Leo binamu nimejifungia ndani tu namlilia aunty ezekeil anavyofanywa na wema, yaan huyu we muache tu, naona team dengue hamtoshi

hahahaaaa anti mwehu afu ukiwa na yule dada akili.haichangamki ng'ooo kutwa kiguu na njia
 
Boko haramu washauteka uzi wetu binamu, ila wamechelewa watu washajionea mambo mpaka wamechoka

Leo binamu nimejifungia ndani tu namlilia aunty ezekeil anavyofanywa na wema, yaan huyu we muache tu, naona team dengue hamtoshi

Haahaha yani nimechekaaaaa, warumi dhambi zote utazishinda dunia hii, lakini dhambi ya umbea itakutafuna binamu coz kwa ubuyu tu wa motooooo huna mpinzani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…