Picha ya mama Wema

Picha ya mama Wema

Hii thread ingefungwa tu,hakuna cha maana kinachojadiliwa hapa
Cc Paw
 
Last edited by a moderator:
kwa alieko instagram hili jambo litakuwa limewafurahisha wengi mno coz hizo team zilikuwa zimegeuza insta yakwao yaani ole wako umlekebishe wema hata kwa mazuri basi wata screen shots pic zako utatukanwa weeeee kila tusi Kajala walimwambia amelala na baba yake huyo penny sasa eti kuna mwingine anajiita wolpergambe_mnuka_papuchi_muuuza_papuchi_na_tigo afu eti wema aliposema kalia sana nalenyewe eti lina comment eti limelia Sana mwenyezi atamlaani hivi kwa jina hilo kweli dua lipokelewe astakafililah mi nimempongeza dengue

Ndo nashangaa linajifanya eti limelia , sisi tutajuaje kama alilia?? Na hata kama akilia alitaka tufanyeje?? hizo team ndo zinamuweka mjini hata atukanwe yeye na familia nzima wema hawez nyanyua mdomo kuongea kitu, kwan baada ya hizo picha kaongea nin zaid ya kujifanya kulia
 
Lakini mtoto wa kajala alitukanwa ni mama yake mwenyewe ndio mwenye makosa kwanini amchukue mtoto na kumpeleka ahojiwe juu ya ugomvi ambao haumuhusu?lakini point yangu inabaki palepale mama wema amehusika nini mpaka adhalilishwe kiasi hicho?afadhali hata angekua anashabikia chochote about mwanae lakini maskini mama wa watu yupo kimya,still people tuwe na utu hata wa kujisikia vibaya,ni kweli team so so zikomeshwe lakini sio kwa kufurahia upuuzi huu eti kisa wema amepata pain what kind of people u are?tena wengine ni wanawake kabisa eti nmafurahia kakomeshwa hamjui na nyie nmedhalilishwa hata hao wanaume wanawachora tuu mnavyofurahia?sometime you have to ashame of yourself jamani!

Mama wema mwenyew anaingiliaga ugomvi wa mwanae, kuna kipindi wolper alimchambaga wema na kumdhalilisha , mama wema akajifanya kuingilia na kumchamba wolper hadharan kwenye TV, na hata waandish wa habar mama wema anawatukanaga sana tena matusi ya nguoni na yeye ndo akome kuingilia maugomvi ya mwanae ndo matokeo yake hayo
 
In short kumzalilisha mtu yoyote ni unacceptable awe mkubwa mdogo ni issue ambayo haifai hzo team zao wazikomeshe wenyewe

Mama wema mwenyew anaingiliaga ugomvi wa mwanae, si unakumbuka kipind wolper alipomchamba wema hana pa kulala aende akamchezeshe movie ajulikane analala wapi, huyo mama nae akaingilia akawa anatukana matus makubwa tena kwenye TV, mi nadhan wote sawa tu, mama wema ana matusi mazito hatar muoneni vile vile had mwanae alimkatazaga kuingilia mambo yake ila mama hakomi
 
Du! Inauma sana kama mama ndiyo anadhalilishwa hivyo, nilitumiwa whatsapp, baada ya kuiona mimi hoi.
 
yaani aliye edit mtaalam maana kaweka v.u.z.i kama nywele za mwenda wazimu......

Ahaha mama kibunju unaniacha hoi, halaf nasikia eti wametengenez sijui video ya mtoto wa kajala akananiliu na mtu mzima dah iz team hatar
 
Uyo Mama amepata alichokitafuta siku nyingi...Mbona hatuwaoni kwenye magazeti mama wa kina penny,jokate,kajala,wolper??..Ye kutwa kwenye magazet ya udaku na tv utadhani na yeye ni celeb,tena kwa mambo ya kipuuzi..Mama Diamond walau kapunguza nowadays
 
Mama wema mwenyew anaingiliaga ugomvi wa mwanae, kuna kipindi wolper alimchambaga wema na kumdhalilisha , mama wema akajifanya kuingilia na kumchamba wolper hadharan kwenye TV, na hata waandish wa habar mama wema anawatukanaga sana tena matusi ya nguoni na yeye ndo akome kuingilia maugomvi ya mwanae ndo matokeo yake hayo

kweli kabisa yule.mama nae mtu mzima hovyoo naikumbuka hiyo sana tu!
 
kweli kabisa yule.mama nae mtu mzima hovyoo naikumbuka hiyo sana tu!

Umemsikia mama wema?? Anasema hajali hata kidog kuhusu hizo picha na kwanza hajaziona kwani yeye na mitandao ni vitu viwili tofauti, kweli huyu mama kapinda , sasa hao wanaojifanya kumuonea huruma wakat mtu mwenyewe hata habar hana, kaz kweli
 
mama ndo kasema hvyoo?!!!yule mama hana haya hata kidogo ddduuuh! Mwanamke mwenye staha angepiga kmyaaa! mungu nusuru vizazi vyetu.
 
Kwani binamu huyu mama amekuaje tena?
 
mama ndo kasema hvyoo?!!!yule mama hana haya hata kidogo ddduuuh! Mwanamke mwenye staha angepiga kmyaaa! mungu nusuru vizazi vyetu.

Watu wanamlilia na kumuonea huruma ye ndo kwanza habar hana, si bora angenyamaza kimya...sasa sijui hao wanaomlilia watafanyaje maana mama mwenyew habar hana kabisaa
 
Back
Top Bottom