Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
sasa hapa tunajadili nini? huko insta ndio unaingiaje? au unasearch jina gani?
akaunt yaitwa homa ya jiji ndio nilikoiona kama ni member unamfollow
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hapa tunajadili nini? huko insta ndio unaingiaje? au unasearch jina gani?
akaunt yaitwa homa ya jiji ndio nilikoiona kama ni member unamfollow
warumi aje akutajieaccount haiko sawa sijaipata, cheki vizuri.
Homa ya jiji_team_dengue ila ana pozi huyo hatar toka juz nimem request nipate umbea wa mama wema naona holaa
kwa alieko instagram hili jambo litakuwa limewafurahisha wengi mno coz hizo team zilikuwa zimegeuza insta yakwao yaani ole wako umlekebishe wema hata kwa mazuri basi wata screen shots pic zako utatukanwa weeeee kila tusi Kajala walimwambia amelala na baba yake huyo penny sasa eti kuna mwingine anajiita wolpergambe_mnuka_papuchi_muuuza_papuchi_na_tigo afu eti wema aliposema kalia sana nalenyewe eti lina comment eti limelia Sana mwenyezi atamlaani hivi kwa jina hilo kweli dua lipokelewe astakafililah mi nimempongeza dengue
Lakini mtoto wa kajala alitukanwa ni mama yake mwenyewe ndio mwenye makosa kwanini amchukue mtoto na kumpeleka ahojiwe juu ya ugomvi ambao haumuhusu?lakini point yangu inabaki palepale mama wema amehusika nini mpaka adhalilishwe kiasi hicho?afadhali hata angekua anashabikia chochote about mwanae lakini maskini mama wa watu yupo kimya,still people tuwe na utu hata wa kujisikia vibaya,ni kweli team so so zikomeshwe lakini sio kwa kufurahia upuuzi huu eti kisa wema amepata pain what kind of people u are?tena wengine ni wanawake kabisa eti nmafurahia kakomeshwa hamjui na nyie nmedhalilishwa hata hao wanaume wanawachora tuu mnavyofurahia?sometime you have to ashame of yourself jamani!
In short kumzalilisha mtu yoyote ni unacceptable awe mkubwa mdogo ni issue ambayo haifai hzo team zao wazikomeshe wenyewe
haha mie niliiona kwa shosti angu nimemfollow wapi sijapata response kama wewe
mama wema ndo habari ya mujini....
sasa hapa tunajadili nini? huko insta ndio unaingiaje? au unasearch jina gani?
yaani aliye edit mtaalam maana kaweka v.u.z.i kama nywele za mwenda wazimu......
Mama wema mwenyew anaingiliaga ugomvi wa mwanae, kuna kipindi wolper alimchambaga wema na kumdhalilisha , mama wema akajifanya kuingilia na kumchamba wolper hadharan kwenye TV, na hata waandish wa habar mama wema anawatukanaga sana tena matusi ya nguoni na yeye ndo akome kuingilia maugomvi ya mwanae ndo matokeo yake hayo
kweli kabisa yule.mama nae mtu mzima hovyoo naikumbuka hiyo sana tu!
Umemsikia mama wema?? Anasema hajali hata kidog kuhusu hizo picha na kwanza hajaziona kwani yeye na mitandao ni vitu viwili tofauti, kweli huyu mama kapinda , sasa hao wanaojifanya kumuonea huruma wakat mtu mwenyewe hata habar hana, kaz kweli
Umemsikia mama wema?? Anasema hajali hata kidog kuhusu hizo picha na kwanza hajaziona kwani yeye na mitandao ni vitu viwili tofauti, kweli huyu mama kapinda , sasa hao wanaojifanya kumuonea huruma wakat mtu mwenyewe hata habar hana, kaz kweli
mama ndo kasema hvyoo?!!!yule mama hana haya hata kidogo ddduuuh! Mwanamke mwenye staha angepiga kmyaaa! mungu nusuru vizazi vyetu.