Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Unaelewa swali? Nmekuuliza huyu twiga yuko wapi? Hv unaelewa?Wewe hujui twiga ni nembo ya taifa?
Rais wako hana tofauti na huyo twiga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelewa swali? Nmekuuliza huyu twiga yuko wapi? Hv unaelewa?Wewe hujui twiga ni nembo ya taifa?
Rais wako hana tofauti na huyo twiga?
Kwahy jamaa kwann amefungwa?Lini lilipitishwa hili? Mkuu usiniabishe kuwa hata civics ya form two ilikupitia mbali. Picha ni nembo ya nchi?! Hakika tutafika tukiwa tumechoka sana kiakili🤔
Picha aliichoraHiyo video umeiona?
Kuna wale asslikers aka machawa wamejazana uvccm na bongomovie!Kashtakiwa sababu ya hawa watu chini...
View attachment 3034674
Sasa tatizo n amemchora rais, angejichora yeye asingepata shidaPicha aliichora
Ulisikiliza hukumu?Sasa tatizo n amemchora rais, angejichora yeye asingepata shida
Hapana! Rais ni binadamu na mtumishi wa umma kama wengine. Nembo za nchi ni Bendera, tuzo, rakili, ngao za taifa, majengo au ofisi kuu inayotambulika kisheria kuwa makao ya nchi na Serikali.Picha ya rais pamoja na yeye mwenyewe rais ni nembo ya nchi
je dhamira ya kuchoma picha ya Rais ilikuwa ni nini,kudhalilisha au nini hapa lazima nia,kusudio na dhamira ithibitishwe mahakamaniHapana.
Ichukue hiyo picha ya ku-'down-load'; halafu itisha kikundi cha watu na ku-download' mahasira yako kwenye picha hiyo na kuichoma moto. Ni lazima pawepo na tendo la aina hiyo.
Binafsi bado sikubaliani ni huo ujinga wa kushtaki watu kwa mambo ya kipuuzi kama hilo.
Hili la rais naliona kuwa tofauti na tendo la kuchoma bendera ya nchi kwa mfano.
Hasira; hamaki, ghadhabu, taharukii soi lazima viwe na nia ya "kudhalilisha."je dhamira ya kuchoma picha ya Rais ilikuwa ni nini,kudhalilisha au nini hapa lazima nia,kusudio na dhamira ithibitishwe mahakamani