Pre GE2025 Picha ya Samia kwenye mitungi ya gesi ni ya nini? Haya ndio mambo CHADEMA wanapinga. Msimamizi wa vyama vya siasa yupo kama kipofu na kiziwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwenye picha tu kuna mtu kashaingiza hela za kutosha. Hii ni miradi ya watu
 
Lucas ungekuwa na kipato hata kidogo usingekuwa unajitweza utu wako hapa siku hiz umekuwa na vijitabia vya kike kike, vijimaneno vya taarabu, haya siyo maneno ya kuandika mbele ya wanaume wenzio na nakushauri kaa hukohuko Mwakaleli ukithubutu kutia mguu pwani na hizi
 
Upendo wa watanzania kwa Rais Samia ni kama chafya ambayo huwezi kuizuia. Mama anapendwa na watanzania sana.
 
Mmdharaulika Ninyi Omba omba mnaoshindwa kuweka mikakati ya kufanya chama kujitegemee
Afadhali omba omba maana kupewa ni hiyari ya mtaji. ila wahongaji ni dalili ya ufisadi. Mmewaona watanzania maskini sana hadi muwahonge mitungi ya gesi ya shilingi 20,000?
 
Huyu mama anatoa rushwa waziwazi.
Halafu anaforce kupendwa
Kama ni rushwa nenda mahakamani mjinga wewe. Mama anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa namna anavyoendelea kugusa Maisha ya watanzania. Analeta tabasamu katika kaya za watanzania
 
Afadhali omba omba maana kupewa ni hiyari ya mtaji. ila wahongaji ni dalili ya ufisadi. Mmewaona watanzania maskini sana hadi muwahonge mitungi ya gesi ya shilingi 20,000?
Upendo haulizimshwi. mama anapendwa na watanzania mpaka wanashindwa kujizuia hisia zao za upendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…