Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
CCM wameanza Kampeni mapema Kwa kuwa wana mchecheto na hawajiamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye picha tu kuna mtu kashaingiza hela za kutosha. Hii ni miradi ya watuWakuu,
Kama lengo ni kuwatoa wananchi kutoka kutumia kuni na wahamie kwenye nishati safi, picha ya Samia inafanya nini kwenye mitungi hiyo?
Picha ya Samia ipo kwenye mitungi sababu yeye ndio mtengenezaji wa mitungi hiyo? Au kampuni yake ndio inafanya usambazaji? Yeye ndio kanunua mitungi hiyo kwa pesa yake mfukoni? Yaani pointi ni nini kuweke sura yake hapo?
Msimamizi wa vyama vya siasa kazi yako ni nini? Au majukumu yako yanaishia kwa wapinzani pekee? CCM wanaenda kinyume na sheria left and right lakini kimyaaa mmeufyata. Halafu mnashangaa CHADEMA kutaka mabadiliko ya sheria, sheria ambazo hata mtoto anaona aibu kwa yanayofanyika!
Chawa ndio mmeona hii ndio njia bora kabisa ya kumfanya mama apendwe baada ya njia zote kubuma?![]()
![]()
Bado moja haisomi wala mbili haisimami?
Ni shida sana kuwa na washauri ambao kichwani ni poda... kila siku ni kuaibika tu![]()
Tanzania Imeuzwa Bei Chee Kwa Dubai Port WorldPesa za DP World kazini.
Matusi haya sasaWatumishi wa serikali wengi wana ufikiri hafifu (Low IQ)
TUlia Wewe Usijitoe Akili Wakati Hali Tete Sana Mitungi Haijawa Suluhisho La Wamama Maana Ni MichacheMama ni Kipenzi cha watanzania
Mnafanya kampeni za kipumbavu sana na mmedhauriwa kila mahali, Wajinga nyieMama ni Kipenzi cha watanzania
Akina mama washastuka kirahisi sana!Huyu mama anatoa rushwa waziwazi.
Halafu anaforce kupendwa
Mmdharaulika Ninyi Omba omba mnaoshindwa kuweka mikakati ya kufanya chama kujitegemeeMnafanya kampeni za kipumbavu sana na mmedhauriwa kila mahali, Wajinga nyie
Nani anadanganywa na mtungi wa gesi wakati uwezo wa kununua kilo moja ya nyama apikie kwenye hiyo gesi aliyopewa bure hana?Akina mama washastuka kirahisi sana!
Upendo wa watanzania kwa Rais Samia ni kama chafya ambayo huwezi kuizuia. Mama anapendwa na watanzania sana.Lucas ungekuwa na kipato hata kidogo usingekuwa unajitweza utu wako hapa siku hiz umekuwa na vijitabia vya kike kike, vijimaneno vya taarabu, haya siyo maneno ya kuandika mbele ya wanaume wenzio na nakushauri kaa hukohuko Mwakaleli ukithubutu kutia mguu pwani na hizi
Afadhali omba omba maana kupewa ni hiyari ya mtaji. ila wahongaji ni dalili ya ufisadi. Mmewaona watanzania maskini sana hadi muwahonge mitungi ya gesi ya shilingi 20,000?Mmdharaulika Ninyi Omba omba mnaoshindwa kuweka mikakati ya kufanya chama kujitegemee
Kama ni rushwa nenda mahakamani mjinga wewe. Mama anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa namna anavyoendelea kugusa Maisha ya watanzania. Analeta tabasamu katika kaya za watanzaniaHuyu mama anatoa rushwa waziwazi.
Halafu anaforce kupendwa
Upendo haulizimshwi. mama anapendwa na watanzania mpaka wanashindwa kujizuia hisia zao za upendo.Afadhali omba omba maana kupewa ni hiyari ya mtaji. ila wahongaji ni dalili ya ufisadi. Mmewaona watanzania maskini sana hadi muwahonge mitungi ya gesi ya shilingi 20,000?
Chama gani cha upinzani cha kufanya hivyo wakati huko wamejaa wachumia tumbo wanaongalia namna ya kujaza mitumbo yao tu.Angefanya chama pinzani ungesikia