Pre GE2025 Picha ya Samia kwenye mitungi ya gesi ni ya nini? Haya ndio mambo CHADEMA wanapinga. Msimamizi wa vyama vya siasa yupo kama kipofu na kiziwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gharama ya hizo picha wangeweka kwenye ruzuku na kupunguza bei ya hiyo gesi ingekua ni debe nzuri ila lengo sio kupunguza gharama ni kupiga tu hizo hela za stika wanaona bora iwe hivyo...
 
Upendo haulizimshwi. mama anapendwa na watanzania mpaka wanashindwa kujizuia hisia zao za upendo.
Tunazungumzia CCM rushwa imewakolea hadi mnaihalalisha Kwa watanzania wengine.

Mmewafanya wawe maskini hadi wanashukuru Kwa kupewa mtungi wa shilingi 20,000.
 
Maisha bila unafiki hayaendi.
 
Ndio champion wa Nishati safi
 
Tunazungumzia CCM rushwa imewakolea hadi mnaihalalisha Kwa watanzania wengine.

Mmewafanya wawe maskini hadi wanashukuru Kwa kupewa mtungi wa shilingi 20,000.
Na wewe peleka ukagawe kama una ubavu. Ninyi si mnawaza kujaza matumbo yenu kama nguruwe.Mama anawaza namna ya kuwainua watanzania na kuwapa tabasamu.ndio maana anakubalika na kupendwa na watanzania
 
Mkuu ni mwaka gani ulianza kumiliki card ya Chama cha mapinduzi hadi Sasa?
 
Hata ungekuwa wewe ungekuwa huna ushawishi ungefanyaje? Ndio rais wa kwqnza ambaye apendwi hadi na ccm wenzake.
 
msimulaumu
Ma
msimulaumu MAMA, sasa hivi CHAWA wamekuwa formalized mpaka mfumo umekuwa overwhelmed 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…