Picha ya uso wa mtu aliekata tamaa ya kuishi baada ya kuhukumiwa miaka 22 Jela

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Hiyo picha ni ya mdada / Mbibi anaitwa Maria, ni mjane mwenye watoto wa 4

394A3B24-FA4E-495A-B90C-67A54A232331.jpeg

23828CDB-1492-4419-9B56-45AD68AA020C.jpeg

===========================
Update: 08/11/2023

==========================
0678D720-2E5C-452C-891F-A2CA1286DC41.jpeg

Haya, huyu hapa, Anaitwa Hakimu Mfawidhi Said Ally Mkasiwa

=========================
Update: 10/11/2023

==========================
Update: 16/02/2024

56676F8C-B90B-4761-959F-0A3BE01E2894.jpeg
 
Hiyo picha ni ya mdada / Mbibi anaitwa Maria

View attachment 2807066
hiyo nyama aliyokamatwa nayo thamani yake ni 900,000, kwanini tusichangishe mchango ili tulipe faini atoke? manake kwa upande mwengine hizo sheria tumezitunga wenyewe, na yeye sio kwamba hafahamu kwamba wanyamapori ni msala. sisi tuliozaliwa maporini tunajua tangu utoto wetu nyamapori ilitungiwa hadi jina kwasababu serikali ikikukuta nayo ni msala, hivyo ukikutwa nayo hata kama una njaa ni msala kwasababu sheria inafuata mkondo, haiangalii tajiri wala masikini. cha muhimu hapo ni aidha kuifuta hiyo sheria ili tuvamie tule swala wote, au la tumchangie huyo mama alipe faini kwasababu kosa aliloshitakiwa nalo lina option ya faini, hata kama ameenda gerezani tukienda kulipa faini anatoka hata kesho.
 
Hilo la kumchangia pia ni zuri sijui kwa upande wa watu wake wa karibu wana mpango gani, binafsi huyu mama roho inaniuma sana saana hasa ukisikia watu wanavyofisadi miradi na matumizi mabaya ya fedha za uma halafu mtu kama huyu anajitafutia kula ya wanae anahukumiwa miaka yote hiyo.

Mchango ukianza nitag mkuu nitaweka kile nitakachojaaliwa tumtoe huyu mama.

ROHO INANIUMA SAANA SAANA hii dhuluma kwa masikini tuu ndio wanaotenda makosa au kudhulumiwa ardhi na urithi wao.
 
hiyo nyama aliyokamatwa nayo thamani yake ni 900,000, kwanini tusichangishe mchango ili tulipe faini atoke? manake kwa upande mwengine hizo sheria tumezitunga wenyewe, na yeye sio kwamba hafahamu kwamba wanyamapori ni msala. sisi tuliozaliwa maporini tunajua tangu utoto wetu nyamapori ilitungiwa hadi jina kwasababu serikali ikikukuta nayo ni msala, hivyo ukikutwa nayo hata kama una njaa ni msala kwasababu sheria inafuata mkondo, haiangalii tajiri wala masikini. cha muhimu hapo ni aidha kuifuta hiyo sheria ili tuvamie tule swala wote, au la tumchangie huyo mama alipe faini kwasababu kosa aliloshitakiwa nalo lina option ya faini, hata kama ameenda gerezani tukienda kulipa faini anatoka hata kesho.
Hiyo option ya Faini hakimu huyo hakuiweka kama mnadala wa kifungo, sijaona sehemu kwamba ni kifungo au faini eti achague, yeue kampa miaka 22 basi. Ndio tunasema huyo hakimu ni shetani mwenye umbo la binadamu
 
Back
Top Bottom