Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Nyama za pori ni bora zaidi kwa chakula na hazinaga makemikali kama hi za kufuga ambazo kila kukicha ni madaktari na madawa ya viwandani. Muhimu ni mama huyo aachane na biashara ya nyama za pori. Afanye biashara nyingine halali e.g. mamalishe, atembeze mbogamboga(Sio nyama pori), afanye vibarua au kazi ndogondogo za kuajiriwa kwa muda (usafi, utunzaji mazingira n.k).hii nchi kuwa maarufu ni rahisi sana. huyu mama anafaa hata kufanya matangazo ya kibiashara kwasababu majority ya watz wameshamfahamu, anayeweza amsaidie pengine ataacha kula nyama za pori.