Sheria inataka uombe prea bargain kabla ya hukumu.sheria ina makosa ya faini tu.ya kufungwa tu na yanayotoa aidha kufungwa au faini.la huyu dada kwa kuwa hakuomba plea kosa lake na la mdogo ake Rustam yana kifungo tu hayana faini.

Hili kosa lina option ya faini. Hakimu ana mwanya wa kutoa hukumu ya faini bila kuombwa, maana plea bargain ni kwale wasiotaka kuendelea na kesi na hivyo inaenda moja kwa moja kwenye hukumu. Ila kesi inapoendeshwa na mtu akapatikana na koda basi hukumu ni kwa busara na hiruma ya hakimu kulingana na hali halisi ya mtuhumiwa. Mjane, watoto wa nne nk. Hakuna sababu ya kufanya ukatili wakati sheria imekupa mwanya wa kutumia busara
CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa wameanzisha kampeni ya kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na Mahakama ya Mkoa wa Iringa kifungo cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria. Hukumu hiyo ilitolewa...
Hakimu ndio ametunga sheria? Mnapata maslahi gani na suala la huyo mwanamke? Huyo ni jangili wacha atumikie kifungo kwa mujibu wa sheria. Km vp nenda kwa niaba yake ye aachiliwe huru. Mnafki mkubwa kujifanya una huruma hata huyo mnyama aliyeuawa ana haki ya kuishi. Mnahangaika na hiyo picha kwa kuifanyia manuva. Eti mwanamke aliyechoka ma maisha, tuletee picha ya mamako tuone na tulinganishe. We unajuaje km mtu amechoka na maisha? Gerezani wako watu wengi mbona huleti picha zao. Acheni kutafuta umaarufu kwa njia ya kipuuzi km hizi. Kila mtu atii sheria za nchi.

Sheria inayompa mwanya wa kumpiga faini kulingana na uchumi wake, kutumia busara na huruma, ameitumga yeye? Kwanini hajaitumia? Badala yake kamfanyia ukatili wa kutisha?!
Huyo mama anauwezo wa kuua swala?
Ipi consideration ya kwamba hiyo nyama alipewa tu, kwamba ni mjane anaetegemewa na watoto wa nne? Sheria imemoa hakimu nguvu n mwanya wa kuangalia na kuconsider hayo yote katika kutoa hukuki, na anatuhusiwa kumpiga faini baada ya kuangalia hayo yote, ila akafanya ukatili, why? Anaugomvi na huyo mjane?!
Hilo la kumchangia pia ni zuri sijui kwa upande wa watu wake wa karibu wana mpango gani, binafsi huyu mama roho inaniuma sana saana hasa ukisikia watu wanavyofisadi miradi na matumizi mabaya ya fedha za uma halafu mtu kama huyu anajitafutia kula ya wanae anahukumiwa miaka yote hiyo.
Mchango ukianza nitag mkuu nitaweka kile nitakachojaaliwa tumtoe huyu mama.
ROHO INANIUMA SAANA SAANA hii dhuluma kwa masikini tuu ndio wanaotenda makosa au kudhulumiwa ardhi na urithi wao.
Kama unamjua hyuyo hakimu kamwambie aache ukatili, huyo mama si jangili, ni mjane na anategemewa na watoto wanne.., miaka 22 sio busara ni ukatili, option ya faini ilikuwepo
Hili kosa lina option ya faini. Hakimu ana mwanya wa kutoa hukumu ya faini bila kuombwa, maana plea bargain ni kwale wasiotaka kuendelea na kesi na hivyo inaenda moja kwa moja kwenye hukumu. Ila kesi inapoendeshwa na mtu akapatikana na koda basi hukumu ni kwa busara na hiruma ya hakimu kulingana na hali halisi ya mtuhumiwa. Mjane, watoto wa nne nk. Hakuna sababu ya kufanya ukatili wakati sheria imekupa mwanya wa kutumia busara
Inaitwa description power.yaan maamuzi ya hiali ya hakimu.hayapaswi haojiwa huo ni utovu wa nidhamu dhidi ya mahakama .ww hujui details za kesi kwa hiyo heshimu hukumu hii sahihi.afu hata uwe na wajane 1000 kuna limit ya hakim kupunguza balaaa

Hiyo Discretion of power alivyoitumia ndio inasababisha nimuite shetani, yaani ni ‘Sadist’! Huwezi kufanya ushetani wakati unamwanya wa kutumia busara halafu uchekewe. Ana immunity ya kushtakiwa, ila hana immunity ya kuhojiwa na jamii, tunayo haki ya kukemea uovu katika jamii, hakuna utovu hapa, yeye ndiye kafanya utovu mkubwa dhidi ya utu na ubinadamu.
Halafu it seems we jamaa ni ‘Charltan’ mkubwa. Unajifanya unajua vitu kumbe hopeless.
1.) ‘Plea bargain’ unaita ‘Prea bargain’
2.) ‘Discretion of power’ unaita ‘Description power’
Hakimu ndio ametunga sheria? Mnapata maslahi gani na suala la huyo mwanamke? Huyo ni jangili wacha atumikie kifungo kwa mujibu wa sheria. Km vp nenda kwa niaba yake ye aachiliwe huru. Mnafki mkubwa kujifanya una huruma hata huyo mnyama aliyeuawa ana haki ya kuishi. Mnahangaika na hiyo picha kwa kuifanyia manuva. Eti mwanamke aliyechoka ma maisha, tuletee picha ya mamako tuone na tulinganishe. We unajuaje km mtu amechoka na maisha? Gerezani wako watu wengi mbona huleti picha zao. Acheni kutafuta umaarufu kwa njia ya kipuuzi km hizi. Kila mtu atii sheria za nchi.
Sheria hiyo hiyo inasema apigwe fine (ya haki) kwa kuzingatia hali halisi ya mtuhumiwa.., kaiacha hiyo haki kafanya ukatili wa kutisha. Total injustice.
Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu. Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni...
CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa wameanzisha kampeni ya kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na Mahakama ya Mkoa wa Iringa kifungo cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria. Hukumu hiyo ilitolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.