Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi?alilipa faini 200,000,000
mahakamani. umesahau issue ilivuja kila mtu alijua hili?Wapi?
Jomba umesema kweli asee hao watu sio kabisa. Aheri ukutanishwa na kipigo na mateso ya mjeda kuliko maliasili.roho inakuuma kwa huyu ni sahihi, ila ni kwasababu umemwona. huko gerezani kuna wengi na wana hali mbaya kuliko huyu wamefungwa. maliasili ni wakatili sana, na ujue wengi wa watu hawa, ukiondoa wale wa pembe za ndovu, ukiona ni nyama ya kawaida tu hii jua huyo ni mtu masikini kabisa na ni mwanakijiji. wapo wengi sana gerezani na wapo huko kwasababu hawana hela ya kuweka wakili awatetee, hawana hela ya kuhonga wapelelezi na hakimu, matajiri majangili wote wapo nje. shukrani kwa Mungu huyo Tanzania imemuona ila wapo wengi sana wenye hali hiyo ya kimasikini wanaenda gerezani huko. maliasili ni wakatili,wanawapiga sana hao watu, wananyanyasa sana watu, ukitaka kujua uliza mtu yeyote anayekaa karibu na mbuga au game researve kama sisi ambao ndugu zetu ndio wapo huko, hawa watu hawana huruma , kuna maeneo wana historia za kupoteza kabisa watu kwasababu tu ya mnyamapori. maeneo ya chunya huko wana kesi kibao, maeneo ya mbingu kilombero huko, maeneo yanayozunguka ruaha ni shida.
Mnajua mashara ya kuua wanyama poli.kiholela ??
Hakuna bana ni sawa na useme ukamate wale wahadzabe kwa nyamapori wakati shughuli yao kuu ya kiuchumi ni uwindaji na wanakaa porini. Sheria imewakuta haohiyo nyama aliyokamatwa nayo thamani yake ni 900,000, kwanini tusichangishe mchango ili tulipe faini atoke? manake kwa upande mwengine hizo sheria tumezitunga wenyewe, na yeye sio kwamba hafahamu kwamba wanyamapori ni msala. sisi tuliozaliwa maporini tunajua tangu utoto wetu nyamapori ilitungiwa hadi jina kwasababu serikali ikikukuta nayo ni msala, hivyo ukikutwa nayo hata kama una njaa ni msala kwasababu sheria inafuata mkondo, haiangalii tajiri wala masikini. cha muhimu hapo ni aidha kuifuta hiyo sheria ili tuvamie tule swala wote, au la tumchangie huyo mama alipe faini kwasababu kosa aliloshitakiwa nalo lina option ya faini, hata kama ameenda gerezani tukienda kulipa faini anatoka hata kesho.
Sheria imetoa options na mwanya mkubwa wa huruma kwa busara za hakimu kutokana na hali halisi ya mkosaji. Mfano huyo dada clearly sio jangili, na inaonekana ni masikini wa kutupa ambae alikuwa anatafutoa watoto chakula tu na sio kwamba alikuwa anafanya biashara kama biasharakuna kitu kinaitwa sheria hufuata mkondo wake
Kwa Tanzania Sheria inafuata mkondo kwa maskini tu.kuna kitu kinaitwa sheria hufuata mkondo wake
Sasa ni kwanini sheria imetoa huo mwanya wa faini au kifungo?Kwahiyo mnataka sheria zianze kufanya kazi kwa kuoneana huruma na kuangalia sura ya mtu?
Haya majizi ya mabilioni mbna sheria haiwafanyi kazi??Kwahiyo mnataka sheria zianze kufanya kazi kwa kuoneana huruma na kuangalia sura ya mtu?
nafikiri hakupata usidizi mzuri kisheriaKwa Tanzania Sheria inafuata mkondo kwa maskini tu.
hii ndio mana halisi ya sheria ni msimeno nduguSheria imetoa options na mwanya mkubwa wa huruma kwa busara za hakimu kutokana na hali halisi ya mkosaji. Mfano huyo dada clearly sio jangili, na inaonekana ni masikini wa kutupa ambae alikuwa anatafutoa watoto chakula tu na sio kwamba alikuwa anafanya biashara kama biashara
Kwani mahakama imetoa option ya kulipa au umejitungia hukuma yako tuhiyo nyama aliyokamatwa nayo thamani yake ni 900,000, kwanini tusichangishe mchango ili tulipe faini atoke? manake kwa upande mwengine hizo sheria tumezitunga wenyewe, na yeye sio kwamba hafahamu kwamba wanyamapori ni msala. sisi tuliozaliwa maporini tunajua tangu utoto wetu nyamapori ilitungiwa hadi jina kwasababu serikali ikikukuta nayo ni msala, hivyo ukikutwa nayo hata kama una njaa ni msala kwasababu sheria inafuata mkondo, haiangalii tajiri wala masikini. cha muhimu hapo ni aidha kuifuta hiyo sheria ili tuvamie tule swala wote, au la tumchangie huyo mama alipe faini kwasababu kosa aliloshitakiwa nalo lina option ya faini, hata kama ameenda gerezani tukienda kulipa faini anatoka hata kesho.
Msumeno wa masikini tu, si ndio?hii ndio mana halisi ya sheria ni msimeno ndugu
naona bichwa lako gumu. nimesema, sheria inataka kuwe na option ya fine, kama fine isipotolewa, kunatakiwa kuwepo na sababu ya msingi ama la, hiyo ni sababu nzuri ya kumkatia rufaa, among others.Kwani mahakama imetoa option ya kulipa au umejitungia hukuma yako tu