Picha ya uso wa mtu aliekata tamaa ya kuishi baada ya kuhukumiwa miaka 22 Jela

Picha ya uso wa mtu aliekata tamaa ya kuishi baada ya kuhukumiwa miaka 22 Jela

Hakimu ndio ametunga sheria? Mnapata maslahi gani na suala la huyo mwanamke? Huyo ni jangili wacha atumikie kifungo kwa mujibu wa sheria. Km vp nenda kwa niaba yake ye aachiliwe huru. Mnafki mkubwa kujifanya una huruma hata huyo mnyama aliyeuawa ana haki ya kuishi. Mnahangaika na hiyo picha kwa kuifanyia manuva. Eti mwanamke aliyechoka ma maisha, tuletee picha ya mamako tuone na tulinganishe. We unajuaje km mtu amechoka na maisha? Gerezani wako watu wengi mbona huleti picha zao. Acheni kutafuta umaarufu kwa njia ya kipuuzi km hizi. Kila mtu atii sheria za nchi.
Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511 ... Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko
 
Hii nchi imejaa dhuluma sana yaani naombea siku moja ijichanganye kwa Israel ifutwe kama Gaza tuanze upya
Kabisa naunga mkono bora wayahud wangeletwa huku wangeicharaza matako hii nchi watuue wote ianze moja
 
Bina nimeumia sana swahi hili Rais samia muonee huruma mama huyu
Yeah! Walau basi hata iwe ni kifungo cha nje. Mwe, mwe, mwee. Huyu tayari ana watoto 4 halafu tena ni mjane. Jamani! sasa anakuja tena huyo Pilato anamkandamiza miaka 22. Dah! .................Amekomelea msumari wa moto juu ya kidonda😭😭
 
Mnajua mashara ya kuua wanyama poli.kiholela ??
Kwa uhakika huyu mama hana uwezo wa kuua swala. Aliyeua swala hajakamatwa au kupatikana. Huyu mama ni victim of circumstances. Na hao askari W/pori waliomkamata na hiyo nyama hawajatumia Hekima.
Huyo mama alikuwa amejitafutia mboga (vipande 12)au njia ya kupunguza ukali wa maisha. Huyo Pilato naye inaonekana ni mdhaifu katika matumizi ya Taaluma yake kwani Hakuweza kupima Uhalisia wa Madai ya Jamhuri dhidi ya huyo mama mnyonge ambaye pengine Hana Uelewa wa Sheria na kanuni zake Hekima za Ubinadamu. Sio lazima kila anayepatikana na Hatia afungwe gerezani.
 
Yeah! Walau basi hata iwe ni kifungo cha nje. Mwe, mwe, mwee. Huyu tayari ana watoto 4 halafu tena ni mjane. Jamani! sasa anakuja tena huyo Pilato anamkandamiza miaka 22. Dah! .................Amekomelea msumari wa moto juu ya kidonda😭😭
Wewe unaona huyo hakimu ni binadamu? Huyo shetani! Hata iwe vipi, huwezi kumfunga mtu miaka 22 ambaye ni mjane mwenye watoto wanne wadogo kabisa kwa nyama ambayo hata hakwenda kuwinda yeye, kapewa tu.., wakati angeweza kumpiga hata faini ya milioni 5 ili ukoo mzima ikiwezekana wauze ng’ombe na mashamba wamtoe ndugu yao, ila yeye kaona moja kwa moja ampige mika 22 jela. Hamna binadamu hapo, ni jini hilo...
 
Kabisa. Hata Chama cha mawakili Tz(TLS) wameliona hilo ndo maana wameamua kulishikia bango hilo suala ili mama apewe iliyo Haki yake.
 
hiyo nyama aliyokamatwa nayo thamani yake ni 900,000, kwanini tusichangishe mchango ili tulipe faini atoke? manake kwa upande mwengine hizo sheria tumezitunga wenyewe, na yeye sio kwamba hafahamu kwamba wanyamapori ni msala. sisi tuliozaliwa maporini tunajua tangu utoto wetu nyamapori ilitungiwa hadi jina kwasababu serikali ikikukuta nayo ni msala, hivyo ukikutwa nayo hata kama una njaa ni msala kwasababu sheria inafuata mkondo, haiangalii tajiri wala masikini. cha muhimu hapo ni aidha kuifuta hiyo sheria ili tuvamie tule swala wote, au la tumchangie huyo mama alipe faini kwasababu kosa aliloshitakiwa nalo lina option ya faini, hata kama ameenda gerezani tukienda kulipa faini anatoka hata kesho.
Safii nipo tayari kumchangia nani wakukusanya huo mchango?
 
6D9F8322-DD58-44B7-BAA1-B2AC77F51736.jpeg
 
Back
Top Bottom