FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #21
Nikiwaza wale waarabu wa OBC waliomilikishwa Loliondo na Ngorongoro wanavyoua Simba tema kwa kujiburudisha, yaani natamani kumtoa mtu koromeo..Hilo la kumchangia pia ni zuri sijui kwa upande wa watu wake wa karibu wana mpango gani, binafsi huyu mama roho inaniuma sana saana hasa ukisikia watu wanavyofisadi miradi na matumizi mabaya ya fedha za uma halafu mtu kama huyu anajitafutia kula ya wanae anahukumiwa miaka yote hiyo.
Mchango ukianza nitag mkuu nitaweka kile nitakachojaaliwa tumtoe huyu mama.
ROHO INANIUMA SAANA SAANA hii dhuluma kwa masikini tuu ndio wanaotenda makosa au kudhulumiwa ardhi na urithi wao.