Picha ya vatican: Nini kinaendelea hapa?

Nahisi kama kuna mtu anaapishwa hapa
Muonekano huu ni sayansi kweli kweli.


Sidhani kama nitakosea nikisema picha hii imepigwa na Mwandishi wa Vatican?


Na kama ndiyo hivyo, basi wameweza kutengeneza narrative hapa. Kwao, poa.

Yaani, muonekano huo, kwa maoni yangu, ni kama mwanafunzi aliyeenda kuonana na Mwalimu mkuu, au Bosi wake..

Anyways, zipo picha nyingine zenye muonekano 'rafiki'


...eti anaapishwa 😅 ehe, kwa maan hiyo ni mpaka 2030? Au?
 
Wanabishania pale St. Joseph pabomolewe apewe mwekezaji au hapana.

Pale mama Abdul anasema investa yes yes ,

Papa anasema investa no no.
 
Tena hapo pembeni ya samia kuna kalamu kabisa, si ajabu ametoka kusaini makubaliano ya kutoa ruksa tutafunane vinyeo kikamilifu.

Asante sana samia, hakikisha unatii na kufuata maelekezo yote uliyopewa na bosi wako papa.

Roma ikisema imesema.

cocastic
 
Kwahio vijambio vyetu haviko salama? [emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Waraka wa maaskofu ulishaweka wazi msimamo juu ya ugawaji wa bandari za Tanganyika bure kwa waarabu...
 
Your browser is not able to display this video.
 
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. kama ni diplomasia ya kuifungua nchi, kuitangaza, huyu mama kafanya kuliko kikwete, popote anapoona anaweza kwenda akaitangaza nchi, ameenda.
 
Mama asingeenda nakukutana na huyu jamaa yani anazingua hadi anawaona promo kina Bwana Utam international forum kutudhibiti kwenye mada tukabarikiwe.
 
nakazia
 
Ndio ajue kwamba Uislam ulitengenezwa na kanisa Katoliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…