SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Muonekano huu ni sayansi kweli kweli.Nahisi kama kuna mtu anaapishwa hapa
Sidhani kama nitakosea nikisema picha hii imepigwa na Mwandishi wa Vatican?
Na kama ndiyo hivyo, basi wameweza kutengeneza narrative hapa. Kwao, poa.
Yaani, muonekano huo, kwa maoni yangu, ni kama mwanafunzi aliyeenda kuonana na Mwalimu mkuu, au Bosi wake..
Anyways, zipo picha nyingine zenye muonekano 'rafiki'
...eti anaapishwa 😅 ehe, kwa maan hiyo ni mpaka 2030? Au?