hah
JF-Expert Member
- Jan 28, 2024
- 507
- 1,004
Hawezi na kamwe hatakaa aweze kumkatalia Huyo Mzungu Baba!Picha ipo clear kabisa,
Mama amekataa kukubaliana na matakwa ya Papa,mikono chini hivyo maana yake hii case imeisha na haikubaliki kwetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi na kamwe hatakaa aweze kumkatalia Huyo Mzungu Baba!Picha ipo clear kabisa,
Mama amekataa kukubaliana na matakwa ya Papa,mikono chini hivyo maana yake hii case imeisha na haikubaliki kwetu.
Kwahiyo kwa mfano wewe mzungu akikwambia ujiunge chama chao cha LGBTQ huwezi kumkatalia?Hawezi na kamwe hatakaa aweze kumkatalia Huyo Mzungu Baba!
Dakika 25 tu, wenzetu hawana muda wa kupoteza...Wajuzi wa usomaji wa picha na matukio, hapa namuona madame president ameketi pamoja na ndugu Papa ila kuna tukio sijalielewa kwa mkao wa madame president kutokana na uwekaji wa mikono hapo kwenye meza.
View attachment 2901910
Nahisi kama kuna mtu anaapishwa hapa
Mara ooo karuhusu ndoa za jinsia moja...Wajuzi wa usomaji wa picha na matukio, hapa namuona madame president ameketi pamoja na ndugu Papa ila kuna tukio sijalielewa kwa mkao wa madame president kutokana na uwekaji wa mikono hapo kwenye meza.
View attachment 2901910
Nahisi kama kuna mtu anaapishwa hapa
Sawa,ila jua Kila jambo ni Kwa manufaa ya walio nyumba Yao.Si kila majadiliano yanatakiwa yasikilizwe na viongozi wengine, ila wahusika hutoa muhtasari wa walichokizungumza baada kumaliza.
Usiwe mvivu kusoma, soma nilivyomalizia.Sawa
Sawa,ila jua Kila jambo ni Kwa manufaa ya walio nyumba Yao.
Na sidhani kama Kuna mambo watayafanya kuwa ya kwao peke Yao mkuu