Picha ya vatican: Nini kinaendelea hapa?

Picha ya vatican: Nini kinaendelea hapa?

Picha ipo clear kabisa,
Mama amekataa kukubaliana na matakwa ya Papa,mikono chini hivyo maana yake hii case imeisha na haikubaliki kwetu.
Hawezi na kamwe hatakaa aweze kumkatalia Huyo Mzungu Baba!
 
""YOU SHALL BE UNDER THE CHAIN OF MAFIA, IN ALL YOUR LIFE, DO YOU AGREE, YES, YOU SHALL NOT GO AGAINST THE LAW, BY DUMPING THIS COUNTRY TO A DOG, YES! ""
Chadomo imekula kwenu hiyo, (jokes)
 
Wajuzi wa usomaji wa picha na matukio, hapa namuona madame president ameketi pamoja na ndugu Papa ila kuna tukio sijalielewa kwa mkao wa madame president kutokana na uwekaji wa mikono hapo kwenye meza.

View attachment 2901910

Nahisi kama kuna mtu anaapishwa hapa
Dakika 25 tu, wenzetu hawana muda wa kupoteza...
 
Wajuzi wa usomaji wa picha na matukio, hapa namuona madame president ameketi pamoja na ndugu Papa ila kuna tukio sijalielewa kwa mkao wa madame president kutokana na uwekaji wa mikono hapo kwenye meza.

View attachment 2901910

Nahisi kama kuna mtu anaapishwa hapa
Mara ooo karuhusu ndoa za jinsia moja...
 
Sawa
Si kila majadiliano yanatakiwa yasikilizwe na viongozi wengine, ila wahusika hutoa muhtasari wa walichokizungumza baada kumaliza.
Sawa,ila jua Kila jambo ni Kwa manufaa ya walio nyumba Yao.
Na sidhani kama Kuna mambo watayafanya kuwa ya kwao peke Yao mkuu
 
Hayo yatakuwa ni marudio.mkwere alishamaliza kila kitu safi kabisa!
 
Back
Top Bottom