Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

mkuu haya maandiko ni kwemye biblia tu au hata quaran na kama wote tunaabudu Mungu moja kwa nini maandiko yatofautiane kati ya dini na dini?
TULISTAHILI KUMUABUDU MUNGU MMOJA LAKINI UKWELI NI KWAMBA HATUFANYI IVYO.
 
Nisaidieni mawasiliano ya huyo mwenye top ya njano nipunguze wasioolewa mtaani.
 
Sometimes wanawake waache kujivictimise nadhani...na kuact all desperate..ushawahi sikia kongamano la wasiooa...?.ndoa it takes two ...chill out over time utapata tu jamaa na usipopata basiii fanta ishu zingine
 
Nnaona washageuzwa fursa. Hauchelewi kusikia hilo kongamano kulikuwa na kiingilio cha elfu 10-30 kumsikiliza main speaker akiongea
 
Nnaona washageuzwa fursa. Hauchelewi kusikia hilo kongamano kulikuwa na kiingilio cha elfu 10-30 kumsikiliza main speaker akiongea
Afu ukute ye mwenyewe hajaolewa..ttz women are raised to aspire marriage contrary to men wkt ndoa ni ya wawili
 
Wasichana niliosoma nao kati ya 70 wameolewa 3 pekee
Wengine wote miaka inasoma 26+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…