Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Mkuu

Huyo kwenye avatar yako ni Mkenya Edi Gathegi,hollywood superstar!

Tuache hayo,hawa wadada wasijali watapata mwenzi tu haina shida,wala wasiwaze!
Yupo kwenye zile movie za "The Twilight saga"...kati ya movie series zilizofanikiwa sana za Hollywood, list ya best movies of all time.
 
Siyo suala la kukaa vikao na kuamua. Ni sheria tu.

Mathayo 19:4 Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke,
5 akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
6 Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.
7 Wakamwambia, Jinsi gani basi Musa aliamuru kumpa hati ya talaka, na kumwacha?
8 Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.
9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
mkuu haya maandiko ni kwemye biblia tu au hata quaran na kama wote tunaabudu Mungu moja kwa nini maandiko yatofautiane kati ya dini na dini?
 
Najua hii sio bongo yani wanaume wangekuwa wamekaa nje hapo.....
 
Back
Top Bottom