Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Hilo kongamano aliyetafsiri kichwa cha habari ndio imekuwa changamoto... Kongamano hilo huwa linaongozwa na Mtumishi Colle Karyn na analiita Grace for singles... Na hao singles ni pamoja na ambao hawadate kabisa,wanaodate,waliopo katika serious relationship yaan wanaishi na mwenza ila hawajahalalisha ndoa,na waliovaa pete ya engagement lakini bado hawajaingia kwenye ndoa na si kongamano la wasioolewa...
Na anafundisha mengi katika maisha ya usingleness,ikiwa jinsi ya kumpendeza Mungu ukiwa katika hayo maisha na si kudate anyone unayemuona,na jinsi ya kumwomba Mungu akuonyeshe kuwa huyo uliye naye ndiye au siye anayeweza kuwa mwenza wako...
Waweza mfollow instagram ANOINTED room
 
Kwa wasioelewa thamani yao watafanya hivyo,na watatoa kwa wanaume wasiojielewa pia
Huo ni mtazamo wako,lkn mtazamo wangu ni kuwa;kadri nyakati zinavyozidi kusonga mbele ndvyo fikra za mwanadamu zinavyozidi kubadilika ili kuendana na wakati pamoja na mazingira...huwa tunasimuliwa kuwa zamani sana watoto wadogo hawakuwa wanaruhusiwa kwenda msibani au kushiriki mazishi,pia waoaji walilazimika kutoa mifugo kama mahari je, mambo hayo bado yapo mpaka hivi Leo? na jamii inayachukuliaje?
 
Sijakataa wapo wanaofanya hivyo hata sasa,yaan mwanamke anamtolea mahari mwanaume au anakubali kumpa mwanaume hela ili akatoe mahari kwa binti,ni makubaliano tu.... Na wapo watakaobaki katika desturi ya mwanamke kutolewa mahari na kufunga ndoa ndipo aende kuishi na mwanaume
 
Tangu mwanzo ulipaswa uandike hivi!
 
Ha ha ha;inawezekana walikuwa na vigezo lukuki katika utafutaji wao,mwisho wa siku wanazeekea kwao au wanakuwa single. Note: sio kila mwanamke anaweza kuwa mke na sio kila mwanaume anaweza kuwa mume.
 
Kwa idadi, wanawake ni wengi kuliko wanaume;kwa hiyo mtu akipata kamatia.....
 
Alafu bado mahal fulan ,kuna demu anamzengua mchizi,mchizi mpaka analia km mtoto??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ukiwaona hapo wapoleeeee,unaweza kuona wife material ndani yao LAKINU sasa hamna kituuuuuuu.
Very true
 
Kwa idadi, wanawake ni wengi kuliko wanaume;kwa hiyo mtu akipata kamatia.....
Mmmmh kwa hiyo hata ikiwa ni pasua kichwa wakamatie tu kwa vile wanawake wapo wengi? Mtu aishi maisha yanayompa furaha,kama kuishi na mwanaume ili mradi tu yupo ni furaha kwake basi afanye hivyo
 
Mkuu walioko kwenye ndoa wanaweza kuwa na majibu sahihi,wanavumilia mengi....lakini kumbadilisha mwnaume ni rahisi sana kama mwanamke akijishusha.
 
Kuna msemo unasema,'A man is a head of family but a woman is a neck, can turn the head the way she likes'
 
Mkuu walioko kwenye ndoa wanaweza kuwa na majibu sahihi,wanavumilia mengi....lakini kumbadilisha mwnaume ni rahisi sana kama mwanamke akijishusha.
Je ni wanawake wote wanaojishusha,waume zao hubadilika? The best thing ni kufanya what makes you happy,sio mtu ajishushe akiwa na mategemeo mwanaume atabadilika,ila ajishushe akiona ndivyo anavyotaka kuishi bila kuweka matarajio yoyote
 
Ha ha ha ndio maana vyuoni unaona kozi zao zinakuwa BA(arts)/Bsc(science) inamaana kuishi na mtu unaweza kutumia 'science' au 'Art' cha muhimu uweze kufanikisha malengo yako.
Je ni wanawake wote wanaojishusha,waume zao hubadilika? The best thing ni kufanya what makes you happy,sio mtu ajishushe akiwa na mategemeo mwanaume atabadilika,ila ajishushe akiona ndivyo anavyotaka kuishi bila kuweka matarajio yoyote
 
Je ni wanawake wote wanaojishusha,waume zao hubadilika? The best thing ni kufanya what makes you happy,sio mtu ajishushe akiwa na mategemeo mwanaume atabadilika,ila ajishushe akiona ndivyo anavyotaka kuishi bila kuweka matarajio yoyote
Unajishusha kwa mtu anayekudhamini unazani wanawake wote niwatata wapo wazuri pia ila magalasa waliokutana nayo ndiyo shida
 
duuu hatari sana vijana wengi wanakwepa ndoa sababu ya kuona wanawake nao wamekuwa changamoto kwenye mahusiano lkn kama ni hv wanawake wengi hawataolewa kwa staili hii du mungu hawape nguvu sana
 
Unajishusha kwa mtu anayekudhamini unazani wanawake wote niwatata wapo wazuri pia ila magalasa waliokutana nayo ndiyo shida
Hii ni kweli kabisa,mtu ajishushe kwa mapenzi yake mwenyewe ila sio ajishushe kwa mtu asiyemthamini maana hayo sio maisha kabisaaaaa.....
 
Back
Top Bottom