Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Mie siwezi kuolewa na mwanaume asiye na gari" (in Mwajuma's voice)Yawezekana mashauzi na machaguzi mengi....
Kwa wasioelewa thamani yao watafanya hivyo,na watatoa kwa wanaume wasiojielewa piaTunakoelekea wanawake wataanza kuwatolea mahari wanaume!
Huo ni mtazamo wako,lkn mtazamo wangu ni kuwa;kadri nyakati zinavyozidi kusonga mbele ndvyo fikra za mwanadamu zinavyozidi kubadilika ili kuendana na wakati pamoja na mazingira...huwa tunasimuliwa kuwa zamani sana watoto wadogo hawakuwa wanaruhusiwa kwenda msibani au kushiriki mazishi,pia waoaji walilazimika kutoa mifugo kama mahari je, mambo hayo bado yapo mpaka hivi Leo? na jamii inayachukuliaje?Kwa wasioelewa thamani yao watafanya hivyo,na watatoa kwa wanaume wasiojielewa pia
Sijakataa wapo wanaofanya hivyo hata sasa,yaan mwanamke anamtolea mahari mwanaume au anakubali kumpa mwanaume hela ili akatoe mahari kwa binti,ni makubaliano tu.... Na wapo watakaobaki katika desturi ya mwanamke kutolewa mahari na kufunga ndoa ndipo aende kuishi na mwanaumeHuo ni mtazamo wako,lkn mtazamo wangu ni kuwa;kadri nyakati zinavyozidi kusonga mbele ndvyo fikra za mwanadamu zinavyozidi kubadilika ili kuendana na wakati pamoja na mazingira...huwa tunasimuliwa kuwa zamani sana watoto wadogo hawakuwa wanaruhusiwa kwenda msibani au kushiriki mazishi,pia waoaji walilazimika kutoa mifugo kama mahari je, mambo hayo bado yapo mpaka hivi Leo? na jamii inayachukuliaje?
Tangu mwanzo ulipaswa uandike hivi!Sijakataa wapo wanaofanya hivyo hata sasa,yaan mwanamke anamtolea mahari mwanaume au anakubali kumpa mwanaume hela ili akatoe mahari kwa binti,ni makubaliano tu.... Na wapo watakaobaki katika desturi ya mwanamke kutolewa mahari na kufunga ndoa ndipo aende kuishi na mwanaume
Very trueAlafu bado mahal fulan ,kuna demu anamzengua mchizi,mchizi mpaka analia km mtoto??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukiwaona hapo wapoleeeee,unaweza kuona wife material ndani yao LAKINU sasa hamna kituuuuuuu.
Mmmmh kwa hiyo hata ikiwa ni pasua kichwa wakamatie tu kwa vile wanawake wapo wengi? Mtu aishi maisha yanayompa furaha,kama kuishi na mwanaume ili mradi tu yupo ni furaha kwake basi afanye hivyoKwa idadi, wanawake ni wengi kuliko wanaume;kwa hiyo mtu akipata kamatia.....
Mkuu walioko kwenye ndoa wanaweza kuwa na majibu sahihi,wanavumilia mengi....lakini kumbadilisha mwnaume ni rahisi sana kama mwanamke akijishusha.Mmmmh kwa hiyo hata ikiwa ni pasua kichwa wakamatie tu kwa vile wanawake wapo wengi? Mtu aishi maisha yanayompa furaha,kama kuishi na mwanaume ili mradi tu yupo ni furaha kwake basi afanye hivyo
Kuna msemo unasema,'A man is a head of family but a woman is a neck, can turn the head the way she likes'Mkuu walioko kwenye ndoa wanaweza kuwa na majibu sahihi,wanavumilia mengi....lakini kumbadilisha mwnaume ni rahisi sana kama mwanamke akijishusha.
Je ni wanawake wote wanaojishusha,waume zao hubadilika? The best thing ni kufanya what makes you happy,sio mtu ajishushe akiwa na mategemeo mwanaume atabadilika,ila ajishushe akiona ndivyo anavyotaka kuishi bila kuweka matarajio yoyoteMkuu walioko kwenye ndoa wanaweza kuwa na majibu sahihi,wanavumilia mengi....lakini kumbadilisha mwnaume ni rahisi sana kama mwanamke akijishusha.
Je ni wanawake wote wanaojishusha,waume zao hubadilika? The best thing ni kufanya what makes you happy,sio mtu ajishushe akiwa na mategemeo mwanaume atabadilika,ila ajishushe akiona ndivyo anavyotaka kuishi bila kuweka matarajio yoyote
Kakudanganya naniMkuu walioko kwenye ndoa wanaweza kuwa na majibu sahihi,wanavumilia mengi....lakini kumbadilisha mwnaume ni rahisi sana kama mwanamke akijishusha.
Unajishusha kwa mtu anayekudhamini unazani wanawake wote niwatata wapo wazuri pia ila magalasa waliokutana nayo ndiyo shidaJe ni wanawake wote wanaojishusha,waume zao hubadilika? The best thing ni kufanya what makes you happy,sio mtu ajishushe akiwa na mategemeo mwanaume atabadilika,ila ajishushe akiona ndivyo anavyotaka kuishi bila kuweka matarajio yoyote
Hii ni kweli kabisa,mtu ajishushe kwa mapenzi yake mwenyewe ila sio ajishushe kwa mtu asiyemthamini maana hayo sio maisha kabisaaaaa.....Unajishusha kwa mtu anayekudhamini unazani wanawake wote niwatata wapo wazuri pia ila magalasa waliokutana nayo ndiyo shida