Picha ya Wiki: Waziri wa Ulinzi akitumia kifaa kitaalamu sana akiwa katika tafrija Msata-Pwani!

Hii pia ni kufanya kinyume na maumbileπŸ˜‚
 
Hii pia ni kufanya kinyume na maumbileπŸ˜‚
 
Jamani!!! Macho nyuma kioo mbele! Eti huyo ndo waziri wetu wa ulinzi!
 
Walitakiwa kumuelekeza jinsi ya kukitumia kuwa PhD haimaanishi unajua kutumia kila kitu.
Ni kweli kabisa
Kuna vitu katika maisha wengine mpaka wana kufa hawajaviona au kuvitumia
Wala sio ajabu ila wangemshtua tu wala sio aibu
Kuna Nchi fulani waziri wa ulinzi alikuwa ni mtu mzito katika familia ya wenye nchi
Sasa ndege zikawa zinapita na mkuu wa jeshi la anga akawa anamueleza kitaaluma akawa anaitika tu, nikaona hapa mwamba kapita kapa
Ni kawaida πŸ˜„ 🀣
 
Kuna mtu macho yameziba tundu lotw na hataona kitubalivyo na macho makubwa
 
Nimecheka kijinga sana, wenda kifaa chake kopo na uwezo wa kutumika pande zote mbili, dunia inaenda kasi , amepatia kama Rais wa N.Korea , mwacheni mama wa watu, tuishi humo
 
Nadhani ndiyo alikuwa anakisogeza mahali pake kwa ajali kamerq ikamnasa.
Namfahamu huyo mama si mshamba wa mambo hayo hata kidogo
Wenda umri pia unachangia, mfano Prof Kabudi na sheria zake leo nikimtungia mtiani hachomoi , lazima nimlambe sup, kama anabisha nimtungie kama atachomoa , wazee wanatakiwa kutulia ila hawataki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…