Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tazama baadhi ya picha za juu zilivyoyachukua kwa uwazi maandamano ya chadema.

Picha ya kwanza ni baada ya makundi yote kukutana na kuingia viwanja vya furahisha.

Tuna serikali ya wastaarabu
 
Zitto alianzisha chama chake yuko wapi sasa?

Tundu Lissu tunampenda sababu yuko kwenye Taasisi imara.

Akitusaliti na yeye tunampiga chini.

Taasisi gani imara? Tokea mmeanza mpaka leo mmefanya nini cha maana! Chama kina watu wabaguzi, wadini na wakabila japo sio wote. Cha nini sasa! Si bora kutokua na chama kuliko kuwa chadema, tlp na nccr mageuzi!
 
Nenda Cuf mkuu huku kwetu hujalazimishwa
 
WEKA NA HIYO MKUU
 
Pointless. Mbona Mawaziri waliosimamiwa na Mzee Lowasa wako kazini? Mama nae yuko ziarani kikazi?
Huu ndiyo ujinga ambao mnatufanya watanzania wasituamini kwa kutupigia kula ili tuongoze nchi. TUPUNGUZE UJINGA TUNAWEZA KUAMINIWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…