Picha Yangu: Good morning Lindi

Picha Yangu: Good morning Lindi

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Hii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku
IMG_20240315_081528.jpg
IMG_20240315_081534.jpg
 
Hii inchi ina sehemu nyingi nzuri mno hata ukitazama ramani ya Africa Tanzania inajichora kipee mno , ni sisi tu tumeshindwa kuendeleza vizuri na kuwa na mikakati bora katika maeneo yetu kwa maendeleo ya Africa.

Tz haikupaswa kuweka na shida ya maji ,njaa nk ila hatukuweza kuwa na mipango bora .Nchi kama Egypt mto Nile tu umewawezesha kupiga hatua kubwa sana katika kilimo na sekta nyingine ,hata Dar yetu nzuri ila imepangika hovyo sana .
 
Back
Top Bottom