MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Umaskini na Kipato kidogo Sana Lindi fikiria Tra wanakusanya 10 bilioni mkoa mzima Lindi wakati Ar wanakusanya 450 bilioni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah ni hatariUmaskini na Kipato kidogo Sana Lindi fikiria Tra wanakusanya 10 bilioni mkoa mzima Lindi wakati Ar wanakusanya 450 bilioni!
Hapo panaitwa Mmongo, zamani kabla barabara ya lami haijajengwa palisumbua sanaHii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku View attachment 2942424View attachment 2942425