Picha Yangu: Good morning Lindi

Picha Yangu: Good morning Lindi

Hii inchi ina sehemu nyingi nzuri mno hata ukitazama ramani ya Africa Tanzania inajichora kipee mno , ni sisi tu tumeshindwa kuendeleza vizuri na kuwa na mikakati bora katika maeneo yetu kwa maendeleo ya Africa.

Tz haikupaswa kuweka na shida ya maji ,njaa nk ila hatukuweza kuwa na mipango bora .Nchi kama Egypt mto Nile tu umewawezesha kupiga hatua kubwa sana katika kilimo na sekta nyingine ,hata Dar yetu nzuri ila imepangika hovyo sana .
Hakika Ndugu yangu, kule Mpanda kuna waterfalls nzuri Sana ila wanaifadi wanyama Tu pale
 
Hii inchi ina sehemu nyingi nzuri mno hata ukitazama ramani ya Africa Tanzania inajichora kipee mno , ni sisi tu tumeshindwa kuendeleza vizuri na kuwa na mikakati bora katika maeneo yetu kwa maendeleo ya Africa.

Tz haikupaswa kuweka na shida ya maji ,njaa nk ila hatukuweza kuwa na mipango bora .Nchi kama Egypt mto Nile tu umewawezesha kupiga hatua kubwa sana katika kilimo na sekta nyingine ,hata Dar yetu nzuri ila imepangika hovyo sana .
Tukisema fisiemu wamefeli sana. Wanakuwa wakali
 
Nakuongezea na nyingine
 
Attachments

  • Screenshot_20240323-123701.png
    Screenshot_20240323-123701.png
    902.5 KB · Views: 9
Back
Top Bottom