Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #21
HakikaKuna maeneo mazuri ndugu yangu hapo patulie kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaKuna maeneo mazuri ndugu yangu hapo patulie kwanza.
Hakika Ndugu yangu, kule Mpanda kuna waterfalls nzuri Sana ila wanaifadi wanyama Tu paleHii inchi ina sehemu nyingi nzuri mno hata ukitazama ramani ya Africa Tanzania inajichora kipee mno , ni sisi tu tumeshindwa kuendeleza vizuri na kuwa na mikakati bora katika maeneo yetu kwa maendeleo ya Africa.
Tz haikupaswa kuweka na shida ya maji ,njaa nk ila hatukuweza kuwa na mipango bora .Nchi kama Egypt mto Nile tu umewawezesha kupiga hatua kubwa sana katika kilimo na sekta nyingine ,hata Dar yetu nzuri ila imepangika hovyo sana .
Tumepishana DodomaWoow....
Ila nyie watu kazi zinawazururisha khaa!🙌🏿 Pole sanaTumepishana Dodoma
Lindi ni kuzuri hivi wacha nifanye mpango nihamieHii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku View attachment 2942424View attachment 2942425
Ni Lindi Mchinga au?Hii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi
Tukisema fisiemu wamefeli sana. Wanakuwa wakaliHii inchi ina sehemu nyingi nzuri mno hata ukitazama ramani ya Africa Tanzania inajichora kipee mno , ni sisi tu tumeshindwa kuendeleza vizuri na kuwa na mikakati bora katika maeneo yetu kwa maendeleo ya Africa.
Tz haikupaswa kuweka na shida ya maji ,njaa nk ila hatukuweza kuwa na mipango bora .Nchi kama Egypt mto Nile tu umewawezesha kupiga hatua kubwa sana katika kilimo na sekta nyingine ,hata Dar yetu nzuri ila imepangika hovyo sana .
Lindi mjini baada ya kutoka mitema kama unakuja na kariakooNi Lindi Mchinga au?
Mjini mpwaNi Lindi Mchinga au?
NaamNakuongezea na nyingine
Hawawezi kukubali kamweTukisema fisiemu wamefeli sana. Wanakuwa wakali
Ndio Raha ya kuwa "dereva WA Mkurugenzi" hahahahahaahIla nyie watu kazi zinawazururisha khaa!🙌🏿 Pole sana
Uko Lindi??Karibu Lindi