Picha Yangu: Good morning Lindi

Hii inchi ina sehemu nyingi nzuri mno hata ukitazama ramani ya Africa Tanzania inajichora kipee mno , ni sisi tu tumeshindwa kuendeleza vizuri na kuwa na mikakati bora katika maeneo yetu kwa maendeleo ya Africa.

Tz haikupaswa kuweka na shida ya maji ,njaa nk ila hatukuweza kuwa na mipango bora .Nchi kama Egypt mto Nile tu umewawezesha kupiga hatua kubwa sana katika kilimo na sekta nyingine ,hata Dar yetu nzuri ila imepangika hovyo sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…