M MzalendoHalisi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2007 Posts 4,679 Reaction score 1,612 Jul 15, 2024 #61 Umaskini na Kipato kidogo Sana Lindi fikiria Tra wanakusanya 10 bilioni mkoa mzima Lindi wakati Ar wanakusanya 450 bilioni!
Umaskini na Kipato kidogo Sana Lindi fikiria Tra wanakusanya 10 bilioni mkoa mzima Lindi wakati Ar wanakusanya 450 bilioni!
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jul 15, 2024 #62 Iko vizuri
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jul 15, 2024 #63 MzalendoHalisi said: Umaskini na Kipato kidogo Sana Lindi fikiria Tra wanakusanya 10 bilioni mkoa mzima Lindi wakati Ar wanakusanya 450 bilioni! Click to expand... dah ni hatari
MzalendoHalisi said: Umaskini na Kipato kidogo Sana Lindi fikiria Tra wanakusanya 10 bilioni mkoa mzima Lindi wakati Ar wanakusanya 450 bilioni! Click to expand... dah ni hatari
R Rhude Member Joined Jun 21, 2024 Posts 10 Reaction score 16 Jul 15, 2024 #64 Elli said: Hii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku View attachment 2942424View attachment 2942425 Click to expand... Hapo panaitwa Mmongo, zamani kabla barabara ya lami haijajengwa palisumbua sana
Elli said: Hii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku View attachment 2942424View attachment 2942425 Click to expand... Hapo panaitwa Mmongo, zamani kabla barabara ya lami haijajengwa palisumbua sana