Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #21
Wahuni wote mbinguniPicha yangu ya siku
View attachment 2942350
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahuni wote mbinguniPicha yangu ya siku
View attachment 2942350
Mshahara upi mkuu? Huu huu? Ndo tusipokee simu? 🤣🤣🤣🤣🤣Naam naam Naaaaaaaaaaam! Weekend ya salary! Wale wako kwa payroll Leo HAKUNA anayepokea simu Zangu. Kuwa hustler ni changamoto sana hahahaha kidding
Zeugen rocksHii picha nimepiga Leo asubuhi huku barabarani. Hakika hii Nchi nzuri kabisa. Kuna yule Jamaa aliyechora mawe Nchi nzima, sijui yuko wapi.View attachment 2942326
Hakuna mwenye akili ya kubuni vitu vizuri kama hivyo wizarani.WIZARA ya utalii, inabidi itoe TENDER ( CONTENT CREATOR), kutumia mawe kupublish, kumbukumbu mbalimbali...kwa kutumia michoro na picha kwenye hayo mawe
MUNGU ameibariki hii nchi kila sehemu huwa naangalia Sana Ile SAFARI CHANNEL Kwa kweli Tanzania ni tamu SanaHii nchi ni nzuri sana mkuu ila mafisadi yanaiharibu.
Tukipata viongozi wazalendo , tutafika mbali sana.
Lucas mwashambwa akielekea mzigoni kuandika nyuzi za kutoa machozi ya furaha.Picha yangu ya siku
View attachment 2942350
Tangu uhuru hatujawahi kuwa na viongozi wazalendo?Tukipata viongozi wazalendo , tutafika mbali sana.
Najaribu kukutafuta ulipo sikuoni, sijui kwa nini hukujipiga selfie 😜Hii picha nimepiga Leo asubuhi huku barabarani.
Uje na dodoma wine ukirudiKati ya Dodoma na Manyoni! Sijui jina la kijiji Boss
Ni mimi tu nayewaza kuwa jiwe moja linapelekea moto jiwe jingineHii picha nimepiga Leo asubuhi huku barabarani. Hakika hii Nchi nzuri kabisa. Kuna yule Jamaa aliyechora mawe Nchi nzima, sijui yuko wapi.View attachment 2942326
HahahahahaYeah ndo nakukumbusha kuwa Hii ni weekend
Namm nimeshangaa sana aiseeKwa sababu ya hayo mawe au?
Tulipata mmoja ila nae kwa bahati mbaya ameishia njiani.Tangu uhuru hatujawahi kuwa na viongozi wazalendo?
Kama alikuwepo walikwama wapi kutufikisha mbali?
Yupo kwenye mkoba wa nchi.Hii picha nimepiga Leo asubuhi huku barabarani. Hakika hii Nchi nzuri kabisa. Kuna yule Jamaa aliyechora mawe Nchi nzima, sijui yuko wapi.View attachment 2942326
Sukamahela hiyo ukiwa unaenda SolyaKati ya Dodoma na Manyoni! Sijui jina la kijiji Boss
Ametangulia Burundi kutuandalia makao mapya.Hii picha nimepiga Leo asubuhi huku barabarani. Hakika hii Nchi nzuri kabisa. Kuna yule Jamaa aliyechora mawe Nchi nzima, sijui yuko wapi.View attachment 2942326