Picha yangu ya Siku 2024

Picha yangu ya Siku 2024

WIZARA ya utalii, inabidi itoe TENDER ( CONTENT CREATOR), kutumia mawe kupublish, kumbukumbu mbalimbali...kwa kutumia michoro na picha kwenye hayo mawe
Hakuna mwenye akili ya kubuni vitu vizuri kama hivyo wizarani.

Waliopo wizarani huwaza kuiba tu na huiba haswaa.
 
Tanzania tumejaaliwa mandhari nzuri na za kuvutia mno. Tatizo ni wanasiasa wenye madaraka kuhisi wana haki zaidi ya wengine juu ya vizuri vya asili ya nchi.

Kesho utasikia eneo lote la majabali ni mali ya mwekezaji na wakazi wa maeneo hayo ni wavamizi.
 
Back
Top Bottom