Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

K Kweli kabisa
 
kaka ni kama baba ko nazan unajua nini cha kufanya kama baba.
 
mkuu ebu nikupe ishu iliyotokeaga home kwetu, sister yangu alikujaga likizo na mume wake home, sasa sijui walizinguana nn huko ndani tupo nje na mshua na bi mkubwa mara tunasikia watu wanajibizana huko ndani, mara sister anatoka huku anamrushia mumewe maneno ya shombo, namuangalia mshua yupo kimya nageuka kwa mother naye kimya, nilisimama nikamwambia sister kwa ukali, dada, kama unamnyanyasaga mumeo kamnyanyasie huko huko kwenu sio hapa, na ukiendelea kuongea huo upuuzi wako kwa mumeo kesho mnaondoka hapa. sister aliniangalia kwa mshangao hakuamini alichokuwa anasikia kutoka kwangu maana tulipishana umri sana, badaye mshua na bi mkubwa wakaniita mshua akaniambia mwanangu leo umefanya kitu cha kijasiri sana, akanipa mkono, bi mkubwa akanipa buku tano akaniambia kesho nenda mjini ukatembee umenikosha sana mwanangu.

kwa hyo mkuu ulitakiwa baada ya kuona hzo mambo umkemee sister hapo hapo.
 
Nadhani ulichokitaka umekipata sasa. Unawezaje kupekua simu ya dada yako hadi mbali kote huko? Siku zote ukipekua unapata vilivyofichwa.

Ova
 
Hakuna mke wa mtu ambaye haliwi siku hizi so potezea usijipe mda na mambo ya watu
inaonekana kichwani ni zero kabisa kwahyo wewe upoteyari ndugu yako aende njia ambayo si sahihi wakati unajua anapotea. je, ukisikia taarifa za mauaji kwa mapanga kwa wivu wa mapenzi na alieuwawa ni dada ako utajisikiaje na ulikua na nafasi ya kumweleza kwa nafasi yako au napo utaendelea na shughuli zako ukidai mambo ya watu hayakuhusu? samahan kama kunasehem nimetumia lugha kali.
 
KATAA NDOAA
 
wala hujatumia lugha kali, ulichomwambia huyo mjinga mmoja ni sahihi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…